Ni lazima iwe hiyo google au kifaa chochote kinachofanya cast au mirroring?Habari wakuu,
Natafuta kifaa tajwa hapo juu, nimejaribu kuulizia baadhi ya maduka wanyouza vifaa vya kielektroniki hapa posta sijafanikiwa. je kuna mtu anaweza nielekeza mahali ninapoweza kupata?
Ningependelea zaidi ya google, nyingine pia ntaconsider.Ni lazima iwe hiyo google au kifaa chochote kinachofanya cast au mirroring?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza nitajia jina wanalotumia..? Nimeangalia pia online nataka kwa haraka kidogo, nitafanya hivo ikifikia jumatatu sijapata hapa nchini.Kuna jamaa insta niliona wanauza sema gharama sana...better uagize online tu hata ebay..
Sent from my SM-G906K using Tapatalk
Ndio ninayozungumzia chromecast ni ya google..ingia ebay tu bossNingependelea zaidi ya google, nyingine pia ntaconsider.
Anaitwa nani huyo jamaa?Kuna jamaa insta niliona wanauza sema gharama sana...better uagize online tu hata ebay..
Sent from my SM-G906K using Tapatalk