Hologram ni nini?

Hologram ni nini?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,169
Naona Voda wamezindua 5g na hologram, hiki ni kitu gani? Au ni kama WhatsApp ya Voda?
 
Halogram mfano mwanga ule kama project vile unaweza kutengeza taswara ya kitu ,sijui kama unaelewa?

Ushawai kuona zile computer ya marvel wanatouch on air yaani computer Inakuwa kama projector kweny hawani na unaweza kutype kama touch button ,mfano mwingine ntakupa wa projector ile iwe na uwezo touch ile sehemu ya mwanga ilipopiga hata kama ni ukuta.

Hapa bongo vipo taa za 3D ukiiwasha inatengeneza kama taswira unaweza kuona kama ua ,mtu, maneno yapo hewani ila yanatokana na mwanga ukizima huoni kabisa zipo kariakoo kibao tu ndo mfano halogram pia
 
Nashkuru kumbe hatuwezi tumia simu zetu kwa hyo hologram sio?
Screenshot_20220901-104435.png

Angalia hizo computer za marvel mtu anatouch hewana panakuwa na mwanga kama wa projector vile hiyo ndo technoljia
 
Kuna kipindi miaka Kama mitatu nyuma, 2pac Ali perform kwa Hologram
 
Mifano ya Hologram Katika Muzic
=

=

=

====
Michael Jackson
=

=
 
Hologram technology. Amazing technology.
 
Back
Top Bottom