Mpunga upo kwa atakaeweza kunisaidia. Kuunlock Simu Yangu

Mzurulaji

JF-Expert Member
Sep 25, 2021
284
564
Habari zenu wakuu,
Natumai mko poa nyote.
Poleni sana na majukumu ya kila siku.

Simu yangu Samsung S8 Plus.
Iko locked na Au ya Japanese.
Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card Locked.

Ajabu ni kuwa hainiombi Code za Kuunlock.
Msaada wadau nimeadaa pesa kwaajili ya kazi hii.

Simu: Samsung S8 Plus
Model Number: SCV35
Screenshot_20221115-214550_Settings.jpg
Screenshot_20221115-214608_Settings.jpg
 
Ngoja waje wataalamu watakusaidia lakini kwa nini ununue mishipa badala ya kununua simu au budget yako ilikua imebana sana
 
Habari zenu wakuu,
Natumai mko poa nyote.
Poleni sana na majukumu ya kila siku.

Simu yangu Samsung S8 Plus.
Iko locked na Au ya Japanese.
Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card Locked.

Ajabu ni kuwa hainiombi Code za Kuunlock.
Msaada wadau nimeadaa pesa kwaajili ya kazi hii.

Simu: Samsung S8 Plus
Model Number: SCV35View attachment 2417952View attachment 2417953
Omba msaada kwa huyu mtaalamu Chief-Mkwawa
 
Habari zenu wakuu,
Natumai mko poa nyote.
Poleni sana na majukumu ya kila siku.

Simu yangu Samsung S8 Plus.
Iko locked na Au ya Japanese.
Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card Locked.

Ajabu ni kuwa hainiombi Code za Kuunlock.
Msaada wadau nimeadaa pesa kwaajili ya kazi hii.

Simu: Samsung S8 Plus
Model Number: SCV35View attachment 2417952View attachment 2417953
Uko wapi mkuu tufanye kazi?
 
Back
Top Bottom