Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana. Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Za asubuhi wakuu Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium...
0 Reactions
1 Replies
526 Views
Habari za weekend wataalamu Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Question Question
Wakuu mambo vipi, naomba maelezo mazuri ya kumuelewesha mtu kwa ujumla tu kuhusu event driven programming. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Heshima zenu wakuu,naomba App nzuri ambayo nitaweza kutuma SMS moja Kwa watu wengi ndugu zangu. Nawasilisha
0 Reactions
40 Replies
4K Views
STARTUP COMPANY, Kuna mkanganyiko mkubwa Sana wa maana ya Startup ni nini unakuta hata baadhi ya Founder wa STARTUP kibongobongo hawana uwelewa wa kitosha kwamba STARTUP ni nini na inasifa gani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kupakua au mwenye hicho kitabu! (Bungart Harmonium school) Nimejaribu ku download inahitaji nitie$$ Natanguliza shukrani!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu...! Niende kwenye mada moja kwa moja Sehemu nayoishi kuna tatizo la umeme kuwa hauna nguvu/umeme mdogo kiasi kwamba kuna baadhi ya vifaa vya umeme ukiwasha haviwaki au vinawaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mafundi tupo huku
0 Reactions
1 Replies
382 Views
FAHAMU KUHUSU ARTIFICIAL INTELLIGENCE ? Neno artificial intelligence tunaweza sema ni "Akili bandia" ule uwezo wa teknolojia kufanya mambo mbalimbali ambayo kwa kawaida uhitaji kutumia uwezo wa...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Msaada, mwenye ujuzi wa ku-unlock hizi modem za Wireless 4G (T*go), nikiweka line nyingine inadai unlock code. // Nitalipia huduma.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kuunlock kwa kutumia codes za tools baadhi ikiwemo Universal Master Tool zimegoma. Unlock Attempts zimebaki saba. ama kuna mdau amewahi kufanikisha kuunlock hii route tushirikishane...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa kati ya window 7 na 10 ipi ni nzuri kwa ufundi simu upande wa software ninazo box na sio crack
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo...
14 Reactions
158 Replies
13K Views
Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimevutiwa sana na ujio wa NOKIA hasa specification zake pamoja na bei yake ambapo ina range 250k-270k! Betri 4100 mAh Kwa kua sijatumia ya Nokia smartphone naomba wenye uzoefu nazo...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa...
0 Reactions
8 Replies
756 Views
Back
Top Bottom