Msaada: Muted conversation zangu za whatsapp zinakuja na 'sound' meseji ikiingia

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,132
6,100
Wakuu salama?

Miezi 3 nyuma nimebadilisha simu na kununua simu mpya ya Samsung S9+.
Kawaida magrupu yangu yote huwa na yawake katika silent mode 'mute'. Ili kuepusha kusumbuliwa na muito wa meseji za Whatsapp kila wakati.

Ila kwa simu hii imeshindikana.
Zipo kwenye mute lakini bado zinakuja na sound.

Msaada tafadhali kwa anayejua.
 
Nenda kwenye setting
Kisha Apps
Kisha WHATSAPP
Kisha NOTIFICATIONS
Kisha Group NOTIFICATIONS zima Sound and popup notifications weka off
 
Nenda kwenye setting
Kisha Apps
Kisha WHATSAPP
Kisha NOTIFICATIONS
Kisha Group NOTIFICATIONS zima Sound and popup notifications weka off
Setting ndio ziko hivi.
Screenshot_20221202-160056_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom