Naomba kujuzwa tofauti ya Kisimbuzi cha Azam cha Antena na Dish

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,031
2,170
Naomba kujua kuna utofauti upi kati ya kisimbuzi cha azam kile cha antena na kile cha dish?
 
Kisimbuzi cha Dish hupokea mawasiliano kwa njia ya Satelite.... popote ukiset vema mambo yanakuwa safi.

Kisimbuzi cha Antena hupokea mawasiliano kwa njia ya territrial na signal zake huwa zinapotea kadiri unavyokuwa mbali na mnara wao.... hivyo yawezekana kuwa sehem na isionyeshe kabisa au ionyeshe kwa taabu
 
Asante sana

Na vip kuhusu quality ya picha zile channel HD pia kwenye kile cha antenna zipo?
 
Kama pia umenunua kifurushi cha 23,000 na una dish unapata chanell nyingi zaidi tofauti na anaetumia antenna.
 
Back
Top Bottom