Videoder inafuta files

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
684
1,000
Wataalam msaada wenu tafadhali, nmekuwa nkidownload audio files kwa videoder zinakuwa zinapotea sizipati kwenye storage japo znadownlodika vizuri tu. Simu Samsung A50.
 

Culminate

Member
Jul 24, 2019
56
95
Baada ya latest update ya android videoder imekuwa na hiyo shida ya kufuta files. Mimi nimebadilisha default downloads folder. Nimetoa kwenye internal memory nimepeleka kwenye SD card. Inafanya kazi fresh tu.
 

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
605
500
Wataalam msaada wenu tafadhali, nmekuwa nkidownload audio files kwa videoder zinakuwa zinapotea sizipati kwenye storage japo znadownlodika vizuri tu. Simu Samsung A50.
Nenda internal storage .... WhatsApp file ..,....Audio kisha copy (.no media ) file ukimaliza nenda kwenye Videoder downloads folder paste hiyo file
 

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
930
1,000
Videoder imekuwa ya kiku... sana. Ina katabia ka kusizi siku hizi na kugandisha simu (unaandikiwa can't respond- wait or ok) ukipiga ok inakata na kuexit kabisa. Yani mimi nimeitoa mara kadhaa na kuirudisha nikidhani labda ni simu kumbe yenyewe tu

Shida nyingine hiyo kitu pale kwenye storage ukitaka kusevu iwe kwenye memorikadi kuna muda mwingine inakataa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom