Msaada kwa anayejua how to hack gmail password au facebook password

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
naombeni msaada jamani kwa wale wataalamu wa IT, msaada wa kuhack gmail au facebook password/account
naombeni kwani ninahitaji sana account yangu ina matatizo imehackiwa
 
msaada wa kuhack gmail au facebook password/account
naombeni kwani ninahitaji sana account yangu ina matatizo imehackiwa

kama cjaelewa hv!
Yaan unataka ujue jnsi ya kuhack?
Halafu account yako ime be hacked!
So na wewe unataka kuHACK au kuUNHACK hzo account zako?
 
naombeni msaada jamani kwa wale wataalamu wa IT, msaada wa kuhack gmail au facebook password/account
naombeni kwani ninahitaji sana account yangu ina matatizo imehackiwa

wamekufanya hamna ee,unataka kusoma pm za dem wako co! Poa bana ngoja wataalam waje.
 
vitu vingine ni IMPOSIBLE sio rahisi kuhack Gmail hata kidogo
 
mmh sema tu ukweli kwamba wewe ndo unataka kuhack na sio account yako imehakiwa,kuna uhusiano gani kati ya kujuzwa jinsi ya kuhack na acount yako kuhackiwa?:confused2:
 
naombeni msaada jamani kwa wale wataalamu wa IT, msaada wa kuhack gmail au facebook password/account
naombeni kwani ninahitaji sana account yangu ina matatizo imehackiwa

sasa account yako imehackiwa alafu na wewe unataka kui-hack tena?? 😱hwell:
 
wamekufanya hamna ee,unataka kusoma pm za dem wako co! Poa bana ngoja wataalam waje.

ndo hivyo mkuu, naona mchanga wa macho sana, nataka kujua ukweli
 
vipi jaman hakuna msaada?
 
Sio kila ki2 kuulza jf vingne gugoni jaman embu andika facebook hack alafu uone
 
Nadhani hakuna njia ya kuhack itabidi tu ukamuombe akupe password kwa amani...
 
Back
Top Bottom