chamng'asi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 215
- 399
Ni baada ya akaunti husika kudai Generate Code, kitu ambacho kinanipa wakati mgumu.
Pia napewa option nyingi ili niweze kuingia kwenye akaunti ya Facebook kisha niwe na access ya page yangu.
Kwa ufupi nimeshindwa, naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa hii kitu.
Nawasilisha.