Una wasiwasi wa kupoteza email yako

Una wasiwasi wa kupoteza email yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—˜๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† !!

Unajua gmail imetengenezwa na Google, pia ni moja wapo ya platforms inayotumiwa na mamilioni ya watu ulimwenguni, kwani watu huweza kuchati , kutuma emails. ujawahi kuona wakati unatengeneza email Huwa unaambiwa ku add recovery email address.

Unajua ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฑ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜€ Kuna wakati inaitwa alternative email ni njia ya kuongeza email nyingine itakayokusaidia kurudisha akaunti yako kwa kuweza kutumiwa code za security notification ili kuifungua email iliyofungwa.

Chukua mfano una email ambayo ni
Bongotech@gmail.com alafu uka add nyingine ambayo ni me@outlook.com Sasa hii ndo itakua recovery email yako.

๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ [emoji116]

โ€ข kusahau password yako uliyofungulia
โ€ข namba uliyofungulia sio yako ivyo umepoteza line umeshindwa kurudisha
โ€ข umeweka two factors authentification
โ€ข umeibiwa simu
โ€ข umedukuliwa email akaunti yako
โ€ข Kuna mtu amebadili password yako
โ€ข kuna mtu anatumia akaunti yako bila wewe kujua na amebadili kila kitu nk.

Sasa kupitia email recovery utaweza kurudisha akaunti Yako kwa urahisi.
Jinsi ya ku add email recovery kwenye Gmail yako ingia kwenye hii tovuti

Kisha >> tafuta person info >> chini ya contact utabonyeza email >> recovery email

Ikitokea mtu amedukua email yako , amebadili password , namba ya simu basi kupitia recovery email address utaweza kurudisha akaunti yako.

Tuachie maoni yako vipi akaunti yako umeweka Email recovery au ndo unajua Leo ??
 
Kuna email zangu mbili zinamafile ya mhimu sana niliibiwa simu, nimeshindwa kuyapata nimesahau password. Namba ziwezi kurenew pia kati ya hizo mbili kuna moja ilikuwa email recovery kwa nyenzake
 
Hii naijua. Naomba kujua ku rudisha email isiyo na recovery (email au phone no) pia zile taarifa wanazouliza sizijui
 
Hello, Habari
Naitwa Lascoo, leo tuna wimbo mpya Youtube ni Lyrics video unaitwa #Wenge
Tafadhali nakuomba uchukue Dakika zako tatu kuutizama, Usisahau Ku-subscribe,Ku-like na Ku-comment,
Ahsate sana๐Ÿ™, Mungu awabariki.๐Ÿ‘‡

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—˜๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† !!

Unajua gmail imetengenezwa na Google, pia ni moja wapo ya platforms inayotumiwa na mamilioni ya watu ulimwenguni, kwani watu huweza kuchati , kutuma emails. ujawahi kuona wakati unatengeneza email Huwa unaambiwa ku add recovery email address.

Unajua ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฐ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฑ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜€ Kuna wakati inaitwa alternative email ni njia ya kuongeza email nyingine itakayokusaidia kurudisha akaunti yako kwa kuweza kutumiwa code za security notification ili kuifungua email iliyofungwa.

Chukua mfano una email ambayo ni
Bongotech@gmail.com alafu uka add nyingine ambayo ni me@outlook.com Sasa hii ndo itakua recovery email yako.

๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—น ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ [emoji116]

โ€ข kusahau password yako uliyofungulia
โ€ข namba uliyofungulia sio yako ivyo umepoteza line umeshindwa kurudisha
โ€ข umeweka two factors authentification
โ€ข umeibiwa simu
โ€ข umedukuliwa email akaunti yako
โ€ข Kuna mtu amebadili password yako
โ€ข kuna mtu anatumia akaunti yako bila wewe kujua na amebadili kila kitu nk.

Sasa kupitia email recovery utaweza kurudisha akaunti Yako kwa urahisi.
Jinsi ya ku add email recovery kwenye Gmail yako ingia kwenye hii tovuti

Kisha >> tafuta person info >> chini ya contact utabonyeza email >> recovery email

Ikitokea mtu amedukua email yako , amebadili password , namba ya simu basi kupitia recovery email address utaweza kurudisha akaunti yako.

Tuachie maoni yako vipi akaunti yako umeweka Email recovery au ndo unajua Leo ??
Mimi yangu niliweka two step verification baada ya muda nikajaribu kuingia wakawa hawanitumii code mpaka wakafunga but walifungua baada ya siku 30...
 
Niliwahi kusahau password yangu ya email ya Hotmail ambayo nimeifungua mwaka 2001. nilifanya jitihada kutosha kuirudisha lakini ikashindikana. Lakini cha kushangaza mwaka wa juzi nikakuta ipo free nikajisajili upya. Nikagundua kua emali isipotumika muda mrefu baadae inaachwa free ingawa huchukua miaka miaka mingi sana.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Naomba msaada Kuna MTU nilimpa email yangu adi password nilimtajia akabadilisha password na email nikawa nashindwa kuingia kwenye app ambazo nilijiunga kupitia hiyo email sikuwa na hiyo recovery email sasa sijui nn naweza fanya kuludisha hiyo email ninacho kumbuka ni email na namba niliyotumia msaada kama naweza iludisha
 
Back
Top Bottom