Wakuu salama?
Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho...
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa nina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.
Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe...
Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa...
Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram.
#META imeunda timu ya...
Habari za wakati huu,
Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna...
Baada ya kujikita kwa muda mrefu kwenye budget smartphones, kampuni ya Motorola inayomilikiwa na Lenovo Group imezindua rasmi smartphone flagship yao inayoitwa Motorola Edge 30 Ultra.
Smartphone...
Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya...
Hello bosses.....
Musk alikosea sana kufukuza fukuza watu hovyo, mm shabiki yake lkn kwa hilo alikosea, makampuni mengi yamefanya layoff ila yanaenda polepole sio kwa speed ya kufukuza watu wengi...
Habarini!
Napenda kujifunza Visual Basic Programming hasa kwenye Excel VB. Naombeni kama kuna mtu anaijua vizuri anisaidie hata kwa kuchangia kidogo. Akanifundisha through zoom au WhatsApp.
Nipo...
Habari zenu,
Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini?
Data gani? Wanauza wapi?
Wanaowauzia wanazitumia vipi...
Hàbar ndg zangu Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza kijana mwezenu nipo mbele yenu nishida kidogo naitaji msaada kuhusu blog pamoja na mshirika wake Google AdSense kiupi kabla sijaanza jieleza...
INTERNET.
Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021.
During beta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.