Hii ni paint mixer na sio concrete mixer.[emoji116]wapi naweza ipata kwa hapa Dar.View attachment 2464167
Inaitwa hand concrete mixer
Kadi ya chama kwanini!Nenda SIDO Makao Makuu uwe na barua ya mjumbe wa nyumba 10, kitambulisho na Kadi ya Chama na hiyo picha, watakuchongea chap
Kama hazipatikani hapa oda online. Utaletewa tu. Ni $38 mpaka Dar.Kuna concrete na paint mixer pia. Ila kwa vyovyote vile nikiipata itakuwa poa
Kweli jitose. Hiyo hela unakunywa wewe na marafiki zako siku moja tu🙂Nimeona pia alibaba. Hii bei nzuri kabisa =.
Wapi naweza ipata kwa hapa Dar? Inaitwa hand concrete au paint mixer.
View attachment 2464167