Kwahiyo hawezi tengeneza blog kwa WordPress bure?Blog alaf WordPress mbona unachanganya mafail?
Blog=blogspot, hizo ni bure unahitaji gmail tu kusignup.
Wordpress unahitaji domain name na hosting, hivyo vyote unalipia.
Unaweza na njia rahisi ni wewe kula pindi tu maana ni rahisi mnoKwahiyo hawezi tengeneza blog kwa WordPress bure?
inawezekanaNataka nitengeneze blog kupitia Wordpress but sina ujuzi wowote. Naomba unisaidie kama unaweza.
Sio Kwamba ww ndio una-complicate mambo, ndugu.Blog alaf WordPress mbona unachanganya mafail?
Blog=blogspot, hizo ni bure unahitaji gmail tu kusignup.
Wordpress unahitaji domain name na hosting, hivyo vyote unalipia.