Msaada: Hivi kuna application au namna yeyote ya kuona maneno ambayo yamekuwa bolded na rang flan yasionekane?

Murtapha68

Member
Feb 20, 2022
29
15
Hivi kuna application au namna yeyote ya kuona maneno ambayo yamekuwa bolded na rang flan yasionekane kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali.
 
Hakuna . ila wewe simu yako ni Ndogo kiuwezo. So kuna Maneno yakitoka simu ambayo ni kubwa kiuwezo mwisho wa Siku wewe unaona vibox tuu. Tafuta hela upate simu angarau kuazia 320000. Huto ona tena vibox. But Pole
 
Namaanisha kwa mfano picha imepigwa imeandikwa maneno flan lakn ayo maneno yamekuwa bolded na rang je kuna uwezekano wa kuona kilicho andikwa
 
Back
Top Bottom