Visual Basic Programming

Visual Basic Programming

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
323
Reaction score
198
Habarini!

Napenda kujifunza Visual Basic Programming hasa kwenye Excel VB. Naombeni kama kuna mtu anaijua vizuri anisaidie hata kwa kuchangia kidogo. Akanifundisha through zoom au WhatsApp.

Nipo serious
 
Acha uvivu na kupoteza muda mkuu, ingia youtube jifunze huko... na kama una ela ingia udemy nunua kozi usome.
 
Nimeshajaribu hivyo nimeshindwa hivyo nahitaji assistance kidogo nipate mwanga kidogo ndio niendelee mwenyewe vizuri
 
Habarini!

Napenda kujifunza Visual Basic Programming hasa kwenye Excel VB. Naombeni kama kuna mtu anaijua vizuri anisaidie hata kwa kuchangia kidogo. Akanifundisha through zoom au WhatsApp.

Nipo serious
Unataka kuitumia kwa ajili ya nini hasa?unabackground ya coding? kama ni data analysis & machine learning basi soma zaidi python au R
 
Ni data analysis na kutengeneza simple program
 
Back
Top Bottom