Simu za Redmi zina shida ya overheating?

Patience123

JF-Expert Member
Mar 10, 2013
5,088
8,769
Wakuu salama?

Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa imeanza tena kupata moto sana haswa nikiwasha data halafu nikawa natumia camera.

Itapata moto mpaka inaleta notification kuwa "your device is overheating" Na wakati huo ina disable baadhi ya vitu.

Naombeni msaada wakuu, ni mimi nakosea matumizi au ni simu zina hili tatizo?

CHIEF MKWAWA
 
Mkuu utakuwa umepewa redmi copy.

Nimewewahi kuwa na redmi note10S Kwa mwaka mzima bila kuwa na tatizo lolote..hadi nikaigawa Kwa jamaa.
Nina jamaa yangu mmoja nae alinunuwa redmi 10 s,,anayo hadi sasa haina shida zozote.
Zote tulinunuwa jariri shop Saudi Arabia.
Na sasa nimenogewa na redmi note Brand,,
nimenunuwa redmi note11 S wala sijuti...
Camera 108 pixels, ram 8,, battery 5200..

Tafuta redmi note 10 PRO hutojutia maamuzi yako.

Pendelea kununuwa vitu original mkuu.
 
Duh...

Hii yangu nimenunua Banana Morocco mkuu, pale jengo la Airtel, nadhani wale ni E-life communications, Mbona masikitiko jamani
 
Ulidhani ukinunua simu kanjanja zitakuacha salama hapa mm nacomment na redmi na inakucheka ww unaepata shida na redmi copy
 
Mkuu utakuwa umepewa redmi copy.

Nimewewahi kuwa na redmi note10S Kwa mwaka mzima bila kuwa na tatizo lolote..hadi nikaigawa Kwa jamaa.
Nina jamaa yangu mmoja nae alinunuwa redmi 10 s,,anayo hadi sasa haina shida zozote.
Zote tulinunuwa jariri shop Saudi Arabia.
Na sasa nimenogewa na redmi note Brand,,
nimenunuwa redmi note11 S wala sijuti...
Camera 108 pixels, ram 8,, battery 5200..

Tafuta redmi note 10 PRO hutojutia maamuzi yako.

Pendelea kununuwa vitu original mkuu.

Walete Redmi
Nilitumia Redmi 9c, haikuwa na shida, ikaibiwa, Japo baadae nikaja kuipata but tayari nimeshanunua Redmi 10. Hii Redmi 10 ndio baada ya muda ilianza usumbufu wa kuchemsha. Na sasa ni Redmi note 10s.
Au pengine kuna namna nakosea matumizi, Japo mimi sio mgeni wa kutumia smartphone.
 
Kufa hufi ila cha moto utakiona
Usiseme hivi.

Wakati nabadilishiwa simu, Redmi 10 zilikuwa zimeisha, nikaongeza hela kidogo nikapewa note 10s...

Laki 530 miezi miwili tatizo ni lile lile. Nimejaribu kuweka screenshot ya hiyo overheating alert Naona Nimeshindwa, natumia browser.

Usawa huu simu natoa wapi tena?

Subiri nilie kwanza 😭
 
Kwan tatizo ni hiyo 530? Unaweza toa hata 2m na ukauziwa kitu fake na walishajua hyo 10 ni copy ndo maana wakakupa copy nyingine😂😂😂😂😂
 
Wewe sio mzima.... 🤣

Yani naomba msaada wewe ndio kabisa unanichinja 🤣

Khaa, subiri kwanza pakuche vizuri hata ninywe chai
 
Ulinunua wapi mkuu? Sio refurb ama Copy?

Hili tatizo sio Common na hizo cpu za hizo simu ni lowend, unlikely ku overheat.
Samahani mkuu nje ya mada kidogo

Natumia redmi note 11, tatizo lake inakataa kuinstall gbWhatsapp, inadowload apk yake mpk mwisho ila kwenye kuinstall inakataa..msaada mkuu
 
Usiseme hivi.

Wakati nabadilishiwa simu, Redmi 10 zilikuwa zimeisha, nikaongeza hela kidogo nikapewa note 10s...

Laki 530 miezi miwili tatizo ni lile lile. Nimejaribu kuweka screenshot ya hiyo overheating alert Naona Nimeshindwa, natumia browser.

Usawa huu simu natoa wapi tena?

Subiri nilie kwanza 😭
Pole kwanza kwa hio bei umepigwa vibaya mno mno mno yaani uwiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom