Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Samahani wakuu naomba msaada wa kujua Kuangalia ni kwa jinsi gani profile yangu Ina asilimia ngapi ya ukamalifu kwenye mtandao wa upwork, kwa kutumia application yao ya simu.
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Nina channel yangu ya Youtube ina Subscribers 8k Watchtime 2000 Inaitwa: Story Za Raja Aisee kama una 100k nakuachia channel maana nimepigika sijawahi ona.
2 Reactions
4 Replies
834 Views
Ulishawahi ni kitu gani kitatokea kama tu rocket itakwenda angani moja kwa moja bila ya kufuata mkunjo wa dunia yetu. Huenda itakwenda bila ya kufikia mwisho na matokeo yake itaishiwa na mafuta...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu Chief-Mkwawa Binadamu Mtakatifu Hawa ndo ninaowajua humu...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JF, Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
PC yangu haikubal kuapdate virus protection.inaload tu ila haianzi kuapdate au inahitaji network nzuri ya kutosha? Au nini shida? Ona hako kaclip hapo chini👇
1 Reactions
0 Replies
497 Views
Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa. Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.
1 Reactions
9 Replies
664 Views
Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie. Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp? Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za mda huu ndugu zangu, najua mko poa kuelekea kusherehekea sikuu ya Xmas na Mwaka mpya Wakuu kama kichwa cha uzi kinavojieleza naomba kujua je,!? Kuna hizi zinavoonekana kweny picha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kuwa muoga kwa siku kama Tatu hivi hatimaye nilikuweza ku-root simu yangu ya Samsung Grand quattro Hii ni Baada ya kuona sikipati ninachokitaka kwenye haya MASIMU YA "KIMASKINI" ikanibidi...
24 Reactions
188 Replies
36K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, naombeni msaada wenu wa driver ya wireless USB Adapter. Nipo dar, ofa yangu ni elfu tano
0 Reactions
4 Replies
525 Views
Habari wakuu, Naomba ushauri wenu majuzi kati nilipata vijesent vyangu nikanunua tv ya hisense sasa nimetumia wiki mbili tu. Juzi wakati nataka kuunganisha na subwoofer nashika wire naona tv...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
SOLD
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Habari wanajamvi, Msaada mwenye uwezo wa uelezea vizuri kuhusu concept ya ip helper, atakuwa amenisaidia sana!!! Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Naomba msaada kwa yeyote mwenye software za ku flash smart phone. Nahitaji ku flash VIVO Y1S
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu natumai mu salama!! Mwanzoni wa mwezi huu nimebahatika kuipata Samsung Galaxy S10 plus. Nimepitia sites nyingi nimeona hii simu imekuwa top rated kwa ubora kwa 2019. Lengo la uzi huu ni...
7 Reactions
91 Replies
16K Views
Ndugu wana JF naomba mnisaidie kwa yeyote anaejua setting ya sehemu ya top scores kwenye DLS 2023 haifunguki
1 Reactions
2 Replies
828 Views
Waheshimiwa 43+ heshima kwenu, wadogo chini ya 40 mnisalimie Aisee kama uzi unavyosema nategemea kuingiza fiber ya TTCL na 20mbps shared. Professionally ni mtu wa IT Mbali na kuiunga kwenye tv na...
2 Reactions
110 Replies
16K Views
Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom