Wakuu mambo vipi.
Nipo Dar, Kuna Speakers (Passive Speakers) naziagiza kutoka Amazon, so nahitaji kuzitest zitakapofika na ili kufanya hivyo ninahitaji Amplifier.
Amp ni kwa ajili tu ya kutest...
Ni nini hufanyika wakati kifaa chako kimeibiwa? Je! Unawezaje kumzuia mtu mwingine asiitumie? Shukrani zote kwa Google, ambaye ametoa simu zetu za android huduma inayoitwa factory reset protection...
Kwa kawaida, toleo la simu za Galaxy A ambazo zinauza sana ni A5x. Lakini ripoti mpya zinaonyesha Galaxy A series zitaacha kuwa na toleo la A7x hivyo Galaxy A73 ndio simu ya mwisho kuwa na A7x...
Habar za humu watu wa Mungu.
Aulizae hapotei!
Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa...
Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani.
Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye...
Kama heading inavyojieleza nimechukua tv flat screen aina ya star X 32 inches few monthes ago ni mpya full box na haina shda yeyote mpaka sasa
Shda iliyokuja kujitokeza n kwamba juzi kati apa...
Habari zenu wapendwa. Naomba msaada wenu ktk hili kwa wale wataalam wa mambo ya computer kwenye software.
Nime download window 10 pro nikaiweka kwa flash nikainstall kwa computer lkn baada ya...
Wakuu rejea kichwa hapo juu ...nataka kufahamishwa namna ambayo Facebook advertising inavyolipa pesa ..mana kuna baadhi ya Friends wamekuwa wakinambia kuwa inalipa na wanatengeneza dollar hata 30...
Mambo vipi wadau, jumamos nilikua na ki event hapa home basi kuna jamaa angu ana HT ya sony akaileta ili isaidie kwa masuala ya mziki. Hii sony ina spika ndefu 2 na zingine fupi 3 tukatandaza...
Waju,I wa tech simba mnisaidie maana Mimi napenda kupiga picha sasa Muzingatie nini apo maana naona nacha ganyikiwa juu ya utofauti wa ubora na sijajua inatokana Na idara ipi apo Kati ya software...
Salaam,
Naipenda sana termux kwakua kwanza ni user friendly halafu pia unaweza kuitumia hata kwenye non-rooted devices.
Pia commands zake ni kama tu Linux. Je, unatumia tools gani kwenye...
Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji.
Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha...
Tunahitaji kituo kidogo mwezini ambacho kitakachotusaidia au kuwasaidia wanaanga katika mission mbalimbali za mwezini ambapo pia kituo hicho kitakuwa kikipokea wageni mbalimbali wenye lengo la...
SEHEMU YA KWANZA:
MAHITAJI(TOOLS) YA KUWEZA KUFANIKISHA UUNDWAJI WA ANDROID APPS
Kuna programu kadhaa ambazo zinahitajika ili kuweza kuunda hizi apps, programu hizo ni kama zifuatazo:
1. kompyuta...
Salaam JF Tech,
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi.
Simu zingine zinakubali.
Tatizo nini? Msaada.
wakuu natafuta mtaalamu wa kucheza na cctv camera aweze kunisaidia kurudisha picha kwenye simu yangu imekuwa disconnected hivyo siwez ku log in nimesahau password na username.nipo tayar kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.