Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
1 Reactions
4 Replies
463 Views
Habarini msaada simu yangu ya tecno pouvoir 3 air haipandishi mnara/data. Msaada nifanyeje?
0 Reactions
9 Replies
665 Views
ni Ipi hiyo Asa kwa electionics ya kuvaa ni zuri zaidi kuliko yenye stand msaaada pia naipata wapi
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Wakuu habari zenu. Bila shaka Mna furaha kwasababu Manchester united jana imeshinda. Nilikuwa naombi ambaye anaweza kunisaidia kufix ili Tatizo. Pc yangu Aina ya Dell latitude 4300 nikiplay...
0 Reactions
4 Replies
601 Views
Toleo jipya la WhatsApp (toleo la 2.23.1.23) katika mfumo wa majaribio (Beta); inaonekana app ya WhatsApp itaongeza emoji mpya kwa watumiaji wa Android. WhatsApp imeanza kuongeza emoji 21 katika...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Habarini wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000. Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki...
0 Reactions
48 Replies
49K Views
Tafadhali kwa mwenye pc yaina tajwa hapo chini anicheck. Core i3 RAM 4G Hard drive: 1t Inaweza DELL,HP au Lenovo. nikipata price ya hizo aina zote itakuwa sawa.
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Jamani Mimi ni mwalimu by professional na nilipata kazi Ila nimeamua kuiacha maana sipo interested na ualimu kabisa , Ila nahitaji kujifunza Programming kwa manufaa yangu binafsi na kizazi changu...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Siku njema wana jf Nataka nihamie kwenye nyumba isiyo naumeme na kwasasa hali yangu kifedha si njema sana, Nahitaji mfumo wa solar utakaoniwezesha kuwasha taa 4, kuchaji simu na kuangalia tv...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu 🖐️, Kama ilivyo kwenye title hapo juu, naomba kwa mwenye kufahamu namna ya kuboost tangazo Facebook anipe maelekezo jinsi ya kufanya. Nawasilisha.
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu. Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello experts, I am living in a place where there is a wifi from a certain company but it has a password and the company can't give me the password. I need help on how can i get the password of...
6 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu naombeni wataalamu mnisaidie internet setting simu yangu ni Sumsung Galaxy S10 laini ni ya tigo yaani haipandishi data network ,Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys nimekuwa nikihangaika sana kupata baadhinya apps ambazo ni premium zinazohitaji kulipiwa kabla na hata baada ya kuwa nazo kwenye simu. Sina uwezo wa kuafford kulipia ili kupata baadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
650 Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya, Nakiri kua sisi tulio humu tunatofautiana maarifa pamoja na jicho la kuiona fursa. Mimi hapa Naomba mwongozo, Nina account "page"Facebook inayo jihusisha na maudhuhi ya...
0 Reactions
5 Replies
411 Views
Wakuu, mambo vipi nahitaji Youtube channel yenye Adsense yake mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
0 Reactions
2 Replies
634 Views
Habari za siku kuu wa tanzania wenzangu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kama tunavyoelewa kadhia ya joto majumbani kwetu ina fika kipindi ina kuwa taabu. Sasa wadau nawaza kipi bora...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Kama kichwa Cha habari kinavosema, naitamani sana kuroot simu yangu ya samsungu na nimesoma makala nyingi sana kuhusu faida na hasara za kuroot simu na nimejiridhisha kiasi Cha kutosha na sababu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani wakuu naomba msaada wa kujua Kuangalia ni kwa jinsi gani profile yangu Ina asilimia ngapi ya ukamalifu kwenye mtandao wa upwork, kwa kutumia application yao ya simu.
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Nina channel yangu ya Youtube ina Subscribers 8k Watchtime 2000 Inaitwa: Story Za Raja Aisee kama una 100k nakuachia channel maana nimepigika sijawahi ona.
2 Reactions
4 Replies
834 Views
Back
Top Bottom