mandingo 94
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 270
- 190
Hàbar ndg zangu Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza kijana mwezenu nipo mbele yenu nishida kidogo naitaji msaada kuhusu blog pamoja na mshirika wake Google AdSense kiupi kabla sijaanza jieleza shida yangu naomba niwaondoe Shaka maana wengi wataoji jina hili nalotumia kwani wengi wanauliza jinsi na sio mada usiku mim nilikuwa na account humu jf miaka mingi Sana Sasa na shangaa inanigomea kufunguka kwaiyo nikaona nitumie email ya mama kipenzi kwaiyo kijana mwenzenu umri wa miaka 27 natumaini kwa ufupi mumenielewa sas tuje kwenye shida yangu.
Miaka 6 iliyopita nifungua blog na sikuwa mtaalamu Sana wa Mambo haya nilifanikisha kwa kuangalia video za YouTube Kisha nikaomba maombi AdSense siku fanikiwa kwakuwa sikuwa na ujuzi wowote ule Ila Leo hii naandika hii post nimeweza kutumiwa ujumbe na Google AdSense ilabado sijui kwa kuazia ili matangazo ya weze kuonekana kwenye ka blagger kangu hako pia nimejaribu kuweka maana mim c mjuzi Sana wa Mambo haya naomba wajuzi wa kazi munisaidia Kama kunasehemu nitakuwa nimekosea niwez kusawazisha.