Msaada Kurecover Password ya OLAS

Michael Paul

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
403
319
Habari za weekend wakuu...

Nimejiregister na hii online system ya bodi ya mikopo.
Tatizo nimepoteza password, nimejaribu kuireset kwa kutumia swali la siri waliloniuliza nikiwa na register lakini sijafanikiwa. Pia system ilisema itanituma password kwenye email yangu lakini haikutumwa.

Wakuu naomba msaada jinsi ya kerecover password yangu. Or step za kuchukua ili nijaze hizi forms.

Ahsanteni.
 
wameandka kwa once u register make sure u change ur password je ulibadili password yako
 
Back
Top Bottom