hivi hawa helsb wako serious kweli

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,405
1,095
vp wadau,naona hawa walioanzisha olas hawakujipanga vizuri wana ujumbe wa kutegatega sana watu,kama change from being an orphan to a single parent or having both parents,tutawafufuaje wazazi wetu?pia hamna sehemu ya ku-log out,kweli wamekuwa wazembe hivi?,,,,,,,huu ni upuuuzi kwa idara kubwa kama ile na IT department yooote ina maana wanafanya kazi gani mpaka wanamaliza hela za wanafunzi kwenye ma-internet cafe's
 
Matatizo ya kubebana makazini haya, mtu hana qualifikatio kapewa kazi wewe unategemea nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom