Msaada, Dell Laptop! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, Dell Laptop!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Donnie Charlie, Apr 6, 2011.

 1. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Habari wapendwa!, nimekutana na dell moja hapa ina sehemu ya kuweka simcard lakini nikienda kwa device manager sioni device yenye jina linalohusiana nalo. je inawezekana kuweka simcard na kutumia kama modem na inatambulishwaje?
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  haujaeleza ni dell aina gani
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  which dell, chomeka tu utaona itavyofanya kazi, acha kuogopa
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Yeah, hata mimi yangu ni Lattitude D630, kuna sehemu ya sim card chini ya betri, nikajaribu kuweka line lakini sikuona action yoyote mu-computer. A help please?
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Download manual ya laptop yako ujue h hapo ingia nini. Inawezekana ni kwa jili ya memory card za camera na vitu kama hivyo.

  Rule No 1 ukiwa na shida ya kifaa chochote inaitwa RTFM. Yaani Read The fu****ng Manual.
  http://en.wikipedia.org/wiki/RTFM
  http://www.readthe****ingmanual.com/

  so nendeni dell mdoload manula ya laptop zenu
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  nakumbuka ni ispiron kwa model nimesahau ila itakuwa yangu soon, nitaweka details za kutosha. kuna mdau ameniambia nitafute ktk website ya Dell then niandike broadband utility program nitapata
   
Loading...