Msaada jamani!

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...
 
Mhh nadhani mpaka uwasiliane na kampuni ya simu wanaweza kufanya iyo kazi
tuone michango ya wengine
 
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...

Inawezekana..

Mimi natumia SAMSUNG E??? ya mchina (inauzwa TZS30,000) - Kwenye calls management ina option ya Add to Reject List .. Uki-Add namba ya mtu kwenye hiyo list hawezi kukupigia wala kuku-text!
 
asante mkuu! Yangu ni nokia 3230.zile za zamani! Sijui kwa hii inakuwaje mkuu! Kwakweli nahitaji kufaham haraka...thanx
 
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...

Possible, ila hujatoa details za kutosha. Simu gani, network gani, na sababu za kumblock huyo mtu.
 
nokia 3230 mkuu! Shukrani!

Duh! Hiyo inaweza kuwa ngumu.

Option ya kwanza: Remove your sim card, and all your incoming, outgoing, sms will be blocked.

Option ya pili: If you want to block contacts on the 3230, go to My-Symbian.com - Symbian OS Series 60 1st & 2nd Edition Software and News and search for "blacklist" in the catalog (the search box is at the bottom of the leftmost column).

Option ya tatu: for your own risk, dowload software hapa Free game block d for nokia 3230 to download at PTF

Ningekusaidia zaidi ila muda wa supu umefika.
 
Inaelekea una usongo sana wa kum-block huyo mtu...natamani angeona juhudi zako huku za kulifanikisja hilo!
 
Duh! Hiyo inaweza kuwa ngumu.

Option ya kwanza: Remove your sim card, and all your incoming, outgoing, sms will be blocked.

Option ya pili: If you want to block contacts on the 3230, go to My-Symbian.com - Symbian OS Series 60 1st & 2nd Edition Software and News and search for "blacklist" in the catalog (the search box is at the bottom of the leftmost column).

Option ya tatu: for your own risk, dowload software hapa Free game block d for nokia 3230 to download at PTF

Ningekusaidia zaidi ila muda wa supu umefika.

asante sana,! Nitasubiri tu supu iishe mkuu!
 
hata mimi natumia samsung kwa hilo inawezekana sijui wewe kwa simu yako unatumia kampuni gani?ila nashangaa kwanini ublock number?na utablock watu wangapi anyway sababu ni maamuzi yako ila naona kama una kitu nyuma ya pazia!
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...
 
search software iitwayo advanced call manager..inaakubali katika hiyo simu yako
 
hata mimi natumia samsung kwa hilo inawezekana sijui wewe kwa simu yako unatumia kampuni gani?ila nashangaa kwanini ublock number?na utablock watu wangapi anyway sababu ni maamuzi yako ila naona kama una kitu nyuma ya pazia!

ni nokia mkuu! Sababu za kublock ni kubwa sana mkuu! Na c kwamba nablok wote! No! Ni mtu mmoja tu! Nisaidieni tafadhali! Nikifanikiwa ni lazma niseme kwanini nimeamua kumblock mtu! Si unajua tena jf ndo mambo yote! Thanx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom