Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

haya jamani,kwa wale tunaoishi milimani kama morogoro umefika wakati sasa wa kufuata kilimo cha kisasa high technology with high yield,hiyo itasaidia kuondoa matatizo ya njaa,mmomonyoko wa udongo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari! kuna Notebook Compaq nimeiona mahali nikaipenda nataka inunua tatizo imeandika Operating system yake ni FREE DOS. Naomba kujua hii ni nini hasa na je kama nikiinunua naweza instal OP...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
mi shida yangu ni kwenye laptop yangu ya note book sumsung n150, kila nikiingiza activation keys za window 7, na VISTA ginuine zinagoma, nimejaribu hata kutumia key loader , pia zinagoma, bado...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
WanaJF wote nawapa heshima. Mimi ninaye kijana wangu ni fundi mzuri sana wa tv satellite dish such as pay and free to air na mwenye akili nyepesi sana katika kujifunza Hivyo anahitaji kupanua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana sayansi na teknologia, najua wengi wetu baada ya kuona hiyo headline kama kawaida mawazo moja kwa moja yameenda kwenye yaleeeeee... mambo yetu yale!!!!! ha ha ha teh teh teh...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Ebwana wakubwa mambo vp? Naombeni kufahamu Tv Link ni kifaa cha aina gani? Na kazi yake ni nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna tatzo lmetokea i dont know but mda so mrefu nilikua na access account yang kwenye mobile but saivi inambia account temporary unavailable. Nashndwa kuelew tatzo ni lipi jaman naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF, Nimekuwa nawaza ni kwa nini Tanzania bado maentrepreneure bado ni wachache wengi ni watu wa Asia. lakini Pili Jirani zetu wa Kenya kila kukicha wanatupiga bao, na hata hii juzi...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
inakuwaje wakubwa? natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wana jf wote tatizo langu ni kwamba natumia simu kama modem kwa sasa speed inanionyesha kuwa ni 921.6 kbp,kiukweli sijaridhishwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba wadau mnisaidie security code ya simu aina ya Nokia 2700.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndg wana Jf, Naomba msaada wa jinsi ya kuirejesha email yangu ambayo imevamiwa jana na kusambaza ujumbe kuwa naomba pesa kwa watu wanisaidie eti nimeibiwa, jambo ambalo si kweli. Nilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari zenu jamaa nimeshindwa kuweka avatar katika profile yangu so namba mnipe procedures za kuweka avatar :confused3:
0 Reactions
0 Replies
823 Views
nimeendesha gari kama kilometa 10 hivi huku handbreak ikiwa sijashusha,je ina madhara gani kwenye gari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Not so with the fifteen sites here. These sites changed the Internet, mostly for good, in substantial ways. Included here is everything from Geocities (which could probably be blamed entirely...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu wakuu,nafkir kichwa cha habar kinajieleza hapo juu. Napenda kufaham jins ya kuhack ili kuangalia channels for free.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Nimevamiwa na wajanja kwa hiyo my email account yangu inatuma spam kwenye watu wote niliowahi kuwasiliana nao awali. Nimebadili password mpaka kuweka majina ya kibantu bado. je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toka wiki iliyopita nimeona speed ya hawa jamaa imeshuka kwa kwasi ya ajabu sana, mwanzo speed yao ilikuwa inafika hadi 2.mbps kwa 3g, ila toka wiki iliyopita imeshuka na haifiki hata 1mbps, juzi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna computer nimeletewa na rafiki yangu nimfanyie Installation ya Windows,hii Laptop ni Dell D610,sasa nilianza kujaribu kuingiza Windows XP ikagoma,nikaamua kujaribu Ubuntu nayo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu, Hivi tekenolojia ya bluetooth inafanyaje kazi? Iligunduliwa lini, na nani, na wapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana JF,naomba msaada wa mawazo,najaribu kucompose message kwenye yahoo,inashindikana,page ya kuandika haidisplay(ninapoclic compose page haidisplay)nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Back
Top Bottom