3ds max and lightwave | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3ds max and lightwave

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Apr 7, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,349
  Likes Received: 3,487
  Trophy Points: 280
  Jamani nilikua naomba msaada wa basic tutorials wa hizo mambo juu. Na je,nchini kwetu kama kuna wataalam wa hizi softwea mbona hamna application kama kwenye movies na games programming? Maana mimi najifunza just for fun japo wenze2 they r making alot of money out of ths issue
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ni kujifunza, anza na blender 3D. Basics zote ni sawa, na features za blender ndizo hizo hizo in those commercial applications.
  Baada ya kujifunza 3D space terminologies basi nakushauri uchukue Cinema 4D, ambayo ndiyo top dog in the commercial arena. google for Cinema4D tutorials, zipo nyingi tu.
   
 3. mazd

  mazd Senior Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwana 3D software kwa Tanzania zinatumika katika building construction zaid (Auto CAD) ingawa baadhi yetu tunajaribu kuzitia katika film kama behind the scene ya movie "The Crazy" ambayo nimetengeneza kama practice yangu juu ya 3D technology. Kwa upande wa tutorials mbona 3D max 5 inakuja na complete tutorials au tumia Blender 3D kama alivyo shauri jamaa hapo juu.

  Behind the scene hiyo ipo YouTube - hermitscorp
  NA
  Taarifa kuhusu movie kamili ipo Hermitscorp Laboratory
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa sisi wenye interest na 3D designing njia mojawapo itakayotusaidia ni ushurikiano, ingawa sijui ni kwa namna gani kutokana na tofauti za kijiografia, lakini kwa mfano tunaweza kufanya mpango sisi ambao tuko tz tukafanya ka ushirikiano fulani, kwa mfano tukawa tunakutana mara mojamoja tukiwa na Laptop zetu, tukabadilishana software, mawazo nk, hii ni kutokana na kwamba hapa kwetu sidhani kama kuna shule za ukweli, wengi wetu tunajifunza out of passion na interest, kwa mpango huo sisi tutakuwa walimu na wanafunzi at the same time.

  Niliwasiliana na mwana jf mwenzetu 3D. akasema tatizo la kujifunza bila mwalimu ni kwamba muda mwingi unatumika kuapat solution ya kitu ambacho mwalimu ange solve within a fraction of minutes. kwa hiyo tukifundishna wenyewe inaweza kusaidia kidogo.

  Tukijitahidi watoto wetu wataacha kuangalia Tom & Jerry na wataangalia katuni za kiswahili za Sungura Mjanja, Juma na Roza, na pia tutatengeneza katuni zenye maudhui ya kwetu hata kama zitaongea kiingereza. Pia tutakuwa na satisfaction kwmba tume achieve goals zetu asikwambie mtu graphics ina raha yake bwana.
  Good-luck all
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa sisi wenye interest na 3D designing njia mojawapo itakayotusaidia ni ushurikiano, ingawa sijui ni kwa namna gani kutokana na tofauti za kijiografia, lakini kwa mfano tunaweza kufanya mpango sisi ambao tuko tz tukafanya ka ushirikiano fulani, kwa mfano tukawa tunakutana mara mojamoja tukiwa na Laptop zetu, tukabadilishana software, mawazo nk, hii ni kutokana na kwamba hapa kwetu sidhani kama kuna shule za ukweli, wengi wetu tunajifunza out of passion na interest, kwa mpango huo sisi tutakuwa walimu na wanafunzi at the same time.

  Niliwasiliana na mwana jf mwenzetu 3D. akasema tatizo la kujifunza bila mwalimu ni kwamba muda mwingi unatumika kuapat solution ya kitu ambacho mwalimu ange solve within a fraction of minutes. kwa hiyo tukifundishna wenyewe inaweza kusaidia kidogo.

  Tukijitahidi watoto wetu wataacha kuangalia Tom & Jerry na wataangalia katuni za kiswahili za Sungura Mjanja, Juma na Roza, na pia tutatengeneza katuni zenye maudhui ya kwetu hata kama zitaongea kiingereza. Pia tutakuwa na satisfaction kwmba tume achieve goals zetu asikwambie mtu graphics ina raha yake bwana.
  Good-luck all
   
 6. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,349
  Likes Received: 3,487
  Trophy Points: 280
  asante mkuu
   
 7. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,349
  Likes Received: 3,487
  Trophy Points: 280
  wazo zuri sana mkuu
   
 8. mazd

  mazd Senior Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  @Lukansola
  Umeongea la ukweli mwana me mwenyewe nina kui kubwa ya kutengeneza full featured cartoon movie yenye combination ya 2D character with 3D Background ila nashindwa kutokana sijui wapi nitapata mwenza mbaye tutasaaidiana kufanikisha ilo--ukiangalia web yangu itaaona jinsi nilivyojaribu kufanya hicho kitu---so namkaribisha yoyote kuungana na mimi vyovyote kama atakuwa tayari. My web is under sign tab.
   
 9. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwanza naunga mkono bidii ambazo vijana mnaonesha. Binafsi naisubiri kwa hamu sana filamu hii. Naamini itaongeza kile ambacho kimekuwa kinakosekana katika filamu zetu.

  Labda kitu ambacho siku za baadaye tunahitaji kuangalia ni mchango wa wazee katika filamu zetu. Sehemu kubwa ya filamu zetu huwa zina mambo ya vijana tu na kuna rika la watu wa 35+ yrs limeachwa katika kushiriki na hata stori zenyewe. Kwa filamu ya "The Crazy" nadhani itakuwa matata sana, kikubwa ni kuzuia kuwepo makosa madogo madogo ambayo yanaweza yakatia dosari, mfano nimeona katika behind the scene mmeandika "Mark-up" ambapo nadhani pangekuwa "Makeup." Vinginevyo naunga mkono hoja!!

  Viva guys!!!


  KK umepotea, au bbado uko "Loliondo?". Mchakato wa Blender umefikia wapi? Maana nadhani unawakilisha vizuri sana "Open Source Projects"!

  Siku njema.

  NB. Nafikiri baada ya 2 yrs naweza kuwa katika nafasi ya kufanya filamu ya CGI. Nitajaribu, Inshallah!
   
 10. mazd

  mazd Senior Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanks 3D, for correction, si unajua tena kidhungu kinatupa tabu ;)
  Kuhusu kuwashirikisha 35+yrs ni kweli,ila kwa "The Crazy" wamo na pia cover inaonesha vijana 2 kutokana na dhima wenyewe

  happy day..........
   
 11. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja.
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nawashukuruni sana, mazd acha nikatembelee hiyo web yako.

  Tuendeleeni kuwasiliana, mdogomdogo tutafika.
   
 13. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani ideas zilizotolewa hapa ni sawa kabisa, kwani since hii area ya IT sana sana mtu hufanya kama personal interest na hobby (ndio, baadae inaweza kuwa ndio mshiko wako haswa) basi, sharing knowledge huwa ni kitu cha urahisi sana. Kutokana na location za watu, inabidi kutumia tu mtandao kama communication channels ikiwezekana na kwa wale ambao wako bongo basi, face-to-face meetings pia zinawezekana. Mimi ningependa tu kuchangia hili: Learn from other peoples experience. Mifano mingi ipo kwenye mtandao inayoonyesha jinsi ya kutumia 3D assets in film, adverts nyingi tu zimetengenezwa totally in 3D, na tool ya ziada ambayo ni lazma kuielewa itakuwa ni After Effects.
  Set learning plans, say, recreate notable adverts fully in 3D


  3D. Mwenzangu, bado nipo, sijaikimbia fani lakini progress bado ni ndogo sana.

  Labda kuanza na list ya resources on the web categorised by application

  Cinema 4D
  Intro to Cinema 4D: Tutorial | greyscalegorilla/blog

  Brief description. Cinema 4D and After effects tutorials.
   
 14. mazd

  mazd Senior Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  @All
  Mwenye kazi yake yoyote inayohusu 2D/3D na software (Mobile or PC Software) kiujumla namkaribisha kuungana na mimi kuendeleza na kutangaza kazi hiyo kwa sababu:
  1. Mimi ni NOKIA Qt ambassador-so nini special status katika NOKIA ovi store na Nokia Corporation yenyewe.
  2. Ni mzalendo na mjali kazi ya mwenzangu
  3. Web yangu inajulika kwa kiasi flani

  4.Napenda kushare idea na vijana wenzangu

  (sijali kabila wala dini )
   
 15. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Asante mimi nitakutafuta mkubwa.
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Angalia usiwe ageist. Teh teh teh . its a joke but nadhani ulimaanisha unapenda kushare idea na watu wote. bila kujali dini , kabila wala umri.

  Hizi idea nzuri sana inabidi tufaute jinsi na hao "wasio vijana wenzetu" wazielewe maana wengi wao ndio decision makers. kazi tunayo tusikatae tamaa na tusiwabague
   
 17. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
Loading...