Msaa wa kutengeneza simu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaa wa kutengeneza simu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by makaomakuu, Apr 8, 2011.

 1. m

  makaomakuu Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu na wataalamu wa kutengeneza simu naomba msaada wenu.
  Kuna ndugu yangu aliletewa simu aina ya Sam sung ch@t 3222 toka nje ya Tanzania(Nchi za Asia)...simu hizo hazikamati mitandao ya Tanzania hasa VODACOM.
  Alijaribu kuzipeleka kwa Mafundi pale mtaa wa Uhuru zaidi ya mara moja lakini naona tatizo bado liko pale pale.
  Wakuu kama kuna fundi unamjua kuwa ni mzuri wa kuziweka sawa hizo simu naomba nisaidiwe mahala ofisi zake zilipo na number zake za simu kama inawezekana.
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  jaribu hizo code

  TEMPORARY UNLOCK:
  Put a non-accepted SIM Card and turn it on. Type *#9998*3323#. Press Exit. You will get a new menu. Select Malloc Fail.

  In newer phones:
  #*7337#
   
 3. m

  makaomakuu Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizo simu zinapiga kazi ila ikifika jioni mtandao wa voda unakuwa haukamati kabisa ila sio kwamba ziko locked.hapana haziko locked..kama nimekulewa vizuri.
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,721
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  flash.
   
Loading...