je nianzie programu ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je nianzie programu ipi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Washawasha, Apr 8, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Heshima mbele wanatechnology,binafsi nataka kuanza kujifunza from scratch,hakuna hata programu moja ya kompyuta ninayoijua lengo langu ili niweze kuwa web designer
   
 2. D

  Developer JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Anza na HTML peke yake kwanza, tumia notepad kama development tool yako kwa kujifunzia, check na tutorial link hiyo: HTML Tutorial . Usisite kurudi ukipata tatizo lolote.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nashukuru mkuu ngoja nianze somo,nikikwama nitarudi
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Link nyingine nzuri ni Hii W3Schools Online Web Tutorials. Fuata mtirirko kama unvyoonyshwa hapo mpaka kwenye CSS.

  kwa kuwa umesema unataka kuwa web desinger ukimalza kajifunze HTML na CSS nenda kajifunze photoshop kidogo ujue jinsi photoshop inavyoweza kuongeza ladha ya tovuti. Pia java script na jquery

  Elewa kuna tofauti kidogo ya web developer na web desingers
   
 5. D

  Developer JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Of you said it Zing, hata hiyo link niliyompa ni ya w3school
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Asante sana mkuu nitaanzia hapa mpaka nielewe.Je ni tofauti gani kati ya web developers na web designers na ni ipi nzuri kati ya hizi fani mbili?
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Developing a website ni kitu kila mtu anajiweza kujifunza, designing a website ni ngumu zaidi, you need to have that artistic eye, kama ilivyo kwa fashion designer (sio kila mshonaji ni fashion designer)

  It is much easier to learn how to develop a site that learning how to design a site
   
 8. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chukua na hii link Scratch | Home | imagine, program, share itakusaidia kwa kujifunza. Ukikwama mahali we ni PM.
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hamna shaka mkuu nitafanya jitihada katika hili na nikikwama nitaku PM
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  basi nitailazimisha akili yangu katika kudesing nikikwama nitaenda kwenye developing
   
Loading...