Jinsi ya kutengeneza nokia usb charger!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349
Hellow JF!!

Umeshajiuliza kwa nini NOKIA hawajaruhusu uwezo wa kucharge simu zao kwa USB cable?!!

LOh...Ukiwauliza wao wanasema kuwa ni kuwa Hawaamini Computer,na voltage zaweza change!!

Haha ha thats childish..Simu zote duniani zina charge kwa usb kasoro wao. Unajua sababu yao kuu ni Biashara, wanataka waendelee na mauzo ya Chargers zao,sababu kila mtu akiwa na USB cable kile kiwanda cha NOKIA CHARGERS kitafungwa.

Haya jinsi ya kutengeneza NOKIA USB CABLE::

NOTE:: jana nimepima volt zinazotoka kwenye normal charger ya nokia nikaona ni 5 v. ni kapima volt zinazotoka kwenye normal computer na laptop yangu nikaona ni zile zile 5 v.

nikagungua kuwa unaweza charge nokia au simu yoyote duniani kwa usb port

Mahitaji::
-Nokia charger ambayo huitumii(hapa tutakata waya tu)
-Usb cable ambayo huitumii(pia tutakata waya)
http://www.phreemms.com/usb/whatyouneed.jpg

HATUA KWA HATUA
1)Kata waya wa usb kutoa kile kichwa kibaki kile cha kuchomeka tu kwenye usb port namuna hii
http://www.phreemms.com/usb/splicedusb.jpg

2)Kata charger ya nokia ubaki na kile kipini cha kuchomeka kwenye simu tu.

3)Sasa unganisha waya za kwenye usb na za pini ya charger,namna hii
http://www.phreemms.com/usb/joinwires.jpg

(hakikisha unaunganisha mwekundu kwa mwekundu na mweusi kwa mweusi. kama hazina rangi hizi basi hakikisha unaunganisha waya zinazo fanana tu. kama huwezi ni vizuri kumuona mtaalamu)

baada ya hapo chomeka kwenye simu na utaona inacharge...
KAMA HUNA UHAKIKA NA UNACHOFANYA BORA UMTAFUTE MTU ANAYEJUA UMEME AKUUNGIE AU FUNDI YOYOTE ATAKUUNGIA)

Cheers baada ya hapo unaitumia ukiwa ofisini hata nyumbani ni rahisi na easy kuliko kutembea na charger muda wote!!!!

Enjoy guys.
 
usisahau kufunga na gundi maungio yako ili waya zisigusane.
 
asante sana mkuu kwa kutupa maujanjaujanja sie wagema ulimbo
 
Wakuu wala msihangaike sana zipo usb malaya zenye pini karibia simu zote unazozijua kichwa chake cha usb unachomeka na kichwa cha umeme,huwa natumia kuchajia simu zangu za iphone na nokia kwa kutumia laptop yangu nikiwa safarini na moto unaingia bila ya tabu yoyote.
 
Binafsi sitaacha kuhangaika na maelekezo ya Shorabaro kwa sababu nimeona yana msaada zaidi ya hayo yako ambayo sijapata msaada wowote, weka mwongozo wa ni duka lipi zinapatikana hizo universal USB ili nii-value post yako kama msaada, mbona mwezio ameweka hadi picha, wewe maelezo tu ya duka lilipo ni nongwa?
 
Tupe mwongozo mkuu!!! ila No need kwa sababu hatautayotengeneza hapa itafanya kazi ile ile tena utasave pesa sababu vifaa vyote vinapatikana hata nyumbani..
Wakuu wala msihangaike sana zipo usb malaya zenye pini karibia simu zote unazozijua kichwa chake cha usb unachomeka na kichwa cha umeme,huwa natumia kuchajia simu zangu za iphone na nokia kwa kutumia laptop yangu nikiwa safarini na moto unaingia bila ya tabu yoyote.
 
wee mkuu kama wafrica wote tungekuwa hivi tungefika mbali sana,asante sana
 
kaka save umeme na pia hiyo gun utapata wapi ukiwa nyumbani, yeah risasi itafaa zaidi mkuu tena inakuwa imara zaidi cheers!!
mi naonelea inabidi utumie risasi kuungia kwani ndo imara zaidi kwani waya hazita legea na kusababisha shoti..
 
Nadhani nokia wameshatoa simu znazotumia usb chargers.
 
Hellow JF!!

Umeshajiuliza kwa nini NOKIA hawajaruhusu uwezo wa kucharge simu zao kwa USB cable?!!

LOh...Ukiwauliza wao wanasema kuwa ni kuwa Hawaamini Computer,na voltage zaweza change!!

Haha ha thats childish..Simu zote duniani zina charge kwa usb kasoro wao. Unajua sababu yao kuu ni Biashara, wanataka waendelee na mauzo ya Chargers zao,sababu kila mtu akiwa na USB cable kile kiwanda cha NOKIA CHARGERS kitafungwa.

Haya jinsi ya kutengeneza NOKIA USB CABLE::

NOTE:: jana nimepima volt zinazotoka kwenye normal charger ya nokia nikaona ni 5 v. ni kapima volt zinazotoka kwenye normal computer na laptop yangu nikaona ni zile zile 5 v.

nikagungua kuwa unaweza charge nokia au simu yoyote duniani kwa usb port

Mahitaji::
-Nokia charger ambayo huitumii(hapa tutakata waya tu)
-Usb cable ambayo huitumii(pia tutakata waya)
http://www.phreemms.com/usb/whatyouneed.jpg

HATUA KWA HATUA
1)Kata waya wa usb kutoa kile kichwa kibaki kile cha kuchomeka tu kwenye usb port namuna hii
http://www.phreemms.com/usb/splicedusb.jpg

2)Kata charger ya nokia ubaki na kile kipini cha kuchomeka kwenye simu tu.

3)Sasa unganisha waya za kwenye usb na za pini ya charger,namna hii
http://www.phreemms.com/usb/joinwires.jpg

(hakikisha unaunganisha mwekundu kwa mwekundu na mweusi kwa mweusi. kama hazina rangi hizi basi hakikisha unaunganisha waya zinazo fanana tu. kama huwezi ni vizuri kumuona mtaalamu)

baada ya hapo chomeka kwenye simu na utaona inacharge...
KAMA HUNA UHAKIKA NA UNACHOFANYA BORA UMTAFUTE MTU ANAYEJUA UMEME AKUUNGIE AU FUNDI YOYOTE ATAKUUNGIA)

Cheers baada ya hapo unaitumia ukiwa ofisini hata nyumbani ni rahisi na easy kuliko kutembea na charger muda wote!!!!

Enjoy guys.

Mbona mimi nina kinokia changu kinakula moto kwa usb cable kwa raha mstarehe kabisa
 
Back
Top Bottom