Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wana JF, Ni simu gani ni the best kulinganisha na zote ziilizopo kwenye market kwa sasa. Kwenye mtandao naona wengi wanaisifia Iphone 4G, lakini pia kuna wanaosema HTC Evo na wengine Blackberry...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
HESHIMA MBELE KAMA TAI WATAALAMU WA HII LUGHA YA PHP NA WANAOTAKA KUJIFUNZA KAMA MIMI,BINAFSI NAPENDA SANA KUJIFUNZA NA NIMEAMUA KUJIFUNZA HII LUGHA LKN INANISUMBUA.HII NI NDIO SITE YANGU(1) mafia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
avg kilio,jamani nimesafu sn kutaka kujua utofauti kati ya avg free na licensed lkn naona maelezo hajasimama vizuri,wenye experience je avg free ina madhaifu gani kwenye kuitumia?tofauti na licenced
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I am running windows 7 (previously running vista). It takes too much time to open the Internet. P/se help
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Is it safe to clean a blackberry trackball using methylated spirit while intact on a phone?
0 Reactions
0 Replies
890 Views
wana jf naomba msaada kwani nikiwa na type inatoke namba 3 na kujityp3e yenyewe mara nyingi bila kusimama ... mp3aka nitumie backsp3ace ndio inarudi lakini hujirudia tena ..... ninapo press...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pokea offa za bidhaa na mbali mbali na huduma mbali mbali unazopendelea kwa njia ya sms. Huduma hii niya kampuni mpya ya technologia Bongo Live! Kusajili na kupokea sms ni bure. Sajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hallow wanaJf, naomba downlink (especially torrent) ambapo nitaweza kupakua Microsoft office professional 2010 full version with actvation key natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba mwenye adress ya Magazeti yafuatayo kwenye NET ,Mwanahalisi,kiu,kulikoni na kama kuna magazeti mengine mimi nipo kijijini,nawatakia wk njema na majibu ya uhakika Asante.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wanajamii naombeni msaada kwa hili tatizo langu.last week nilinunua dvd r aina ya logik ldvr78 hiyo dvd ime contain digital tv,dvb n so kurekodi inarekodi fresh through scart and cvbs input. the...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Hivi karibuni kuna teknolojia mpya imegundulika,teknolojia hiyo utendaji kazi wake ni kama Bluetooth ila yenyewe ina huwezo mkubwa zaidi ya bluetooth.Inasemekana hiyo teknolojia itaweza kuonda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imefahamika kwamba mradi wa mkongo wa mawasiliano wa kimataifa utakamilika na kuunganishwa na mtandao wa ndani kuanzia mwezi ujao. Kwa kuanzia mikoa minane itaunganishwa na kupunguza gharama za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi kitaaluma ni muhasibu lakini napenda sana IT maana naamini katika hiyo itatusaidia kupigambele hatua na kupunguza kero nyingi za wananchi kama ikitumiwa vizuri fursa hii. Jicho langu kubwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wapendwa za jioni, jaman kwenye mashne yangu nilikua natumia window xp service pack2. Sasa leo nikiwa online ikawa imekamatwa kuwa ni pirated so nikadeside kuweka window seven7 without...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Kwa muda mrefu nimetamani kununua bidhaa mbalimbali toka nje ya nchi na hasa kupitia njia ya mtandao.najua ipo mitandao mingi inauza bidhaa mbalimbali,lakini nimeingia woga baada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
What is the difference btn HD DVD and Blue-ray Disc
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Ninaamini kutakuwa na wana-Jamii Faida (nafahamu Emanuel Feruzi anashiriki kama mtoa mada) wanaohudhuria hii conference pale Mlimani City. Naomba mtubandikie yanayoendelea huko...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
NINA LAPTOP YANGU DELL D630 ILIANZA TATIZO KWA KUTOWAKA NA UKIBONYEZA POWER BUTTON INAFLASH TAA YA POWER,PROCESSOR NA BLUETOOTH THN INAZMA BILA HATA KUTOA SIGNAL YOYOTE KW SCREEN. HV SS HATA...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Kuna anayefahamu kuhusu faida na hasara za ipad? Msaada tafadhali; l am thinking of buying one!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
hey people kuna web masters hapa,tunaomba tuwasiliane wazee wangu,naitaji kutengenezewa ka-web
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom