Cell phones and radiation: The 10 highest- and lowest-emitting models | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cell phones and radiation: The 10 highest- and lowest-emitting models

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Zumbukuku, Jun 8, 2011.

 1. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Quote/Source: Brandon Griggs, CNN, June 01, 2011


  When it comes to radiation levels emitted by cell phones, all phone models aren't created equal.
  Cell phone users -- a group that, these days, means practically everybody -- are no doubt concerned about Tuesday's news that the World Health Organization (WHO) classifies cell phones as "possibly carcinogenic to humans."

  The phones themselves aren't necessarily harmful. It's the radiation emitted by the phones -- and absorbed by the human body -- that troubles some doctors.

  But when it comes to radiation levels, all phones aren't equal. Below are lists of the models available from major carriers that emit the highest and lowest levels of radiofrequency energy.


  A quick explanation of the numbers: They refer to the "specific absorption rate" or SAR, a common benchmark that measures the rate of radiofrequency energy your body gets from the phone. The lower the number, the lower the radiation exposure. For a phone to be certified by the FCC and sold in the U.S., for example, its maximum SAR level must be less than 1.6 watts per kilogram.

  But keep in mind that these are only ballpark figures. Your actual exposure will depend on how you use your phone, your carrier and network-specific conditions. For example, when your connection is weak, your cell phone needs to send out more radiation to reach the cellular tower.

  And there's still no conclusive evidence that a phone with a higher SAR level poses a greater health risk -- or any health risk at all -- than a model that emits less radiation.

  Lowest radiation levels:

  1. LG Quantum (AT&T): 0.35 watts per kilogram

  2. Casio EXILIM (Verizon Wireless): 0.53 W/kg

  3. Pantech Breeze II (AT&T, AT&T GoPhone): 0.55 W/kg

  4. Sanyo Katana II (Kajeet): 0.55 W/kg

  5. Samsung Fascinate (Verizon Wireless): 0.57 W/kg

  6. Samsung Mesmerize (CellularONE, U.S. Cellular): 0.57 W/kg

  7. Samsung SGH-a197 (AT&T GoPhone): 0.59 W/kg

  8. Samsung Contour (MetroPCS): 0.60 W/kg

  9. Samsung Gravity T (T-Mobile): 0.62 W/kg

  10. (tie) Motorola i890 (Sprint); Samsung SGH-T249 (T-Mobile): 0.63 W/kg

  Highest radiation levels:

  1. Motorola Bravo (AT&T): 1.59 W/kg

  2. Motorola Droid 2 (Verizon Wireless): 1.58 W/kg

  3. Palm Pixi (Sprint): 1.56 W/kg

  4. Motorola Boost (Boost Mobile): 1.55 W/kg

  5. Blackberry Bold (AT&T, T-Mobile): 1.55 W/kg

  6. Motorola i335 (Sprint): 1.55 W/kg

  7. HTC Magic (T-Mobile): 1.55 W/kg

  8. Motorola W385 (Boost Mobile, U.S. Cellular, Verizon Wireless): 1.54 W/kg

  9. Motorola Boost i290 (Boost Mobile): 1.54 W/kg

  10. (tie) Motorola DEFY (T-Mobile); Motorola Quantico (U.S. Cellular, MetroPCS); Motorola Charm (T-Mobile): 1.53 W/kg

  Some other high-profile phones fared somewhere in the middle on the rankings. The SAR level of the Apple iPhone 4 was 1.17 W/kg (for the AT&T model; the Verizon model wasn't listed). Exposure levels for the dozens of BlackBerry models varied widely.
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Simu zinatumia Mionzi ya MICROWAVE ambayo huwezesha kuunganisha simu yako kwenda kwenye Mnara na mnara huunganisha Simu yako na Mitambo ya Mtandao wako ambapo pia Hurudishwa kwenye mnara hadi kwa mtu Unaye mpigia. Microwave ndio njia kuu ya muunganisho huo. Lakini kunamdhara mengi mtu huyapata kutokana na kuwa karibu na Mionzi hiyo ambayo hadi sasa bado haijafahamika ni kwa kiasi Gani.

  Uchunguzi umeonyesha kuwa kuna madhara mengi ya kiafya tunayapata kutokana na Matumizi ya simu. mfano wa magonjwa hayo ni

  -KUUMWA KICHWA MARA KWA MARA
  -PRESSURE YA KUPANDA NA KUSHUKA
  -UVIMBE KWENYE UBONGO
  -KANSA
  -ALZHEIMER
  -NA MENGINE MENGI

  Hatuwezi kujizuia kutumia simu na Hatuwezi kuzuia hiyo mionzi ya MICROWAVE sababu ni sehemu ya shughuri zetu za kila siku ila tunaweza KUPUNGUZA. hapa nawaletea Njia chache za kupunguza Mionzi ya MICROWAVE isituletee matatizo makubwa zaidi.

  Punguza matumizi yasio lazima ya simu.Mfano Ongea mda mfupi kwa kutumia simu sio muda mrefu uweunaongea, Uchunguzi umeonyesha kuwa ukiongea kwa DAKIKA mbili haileti madhara,(Alter natural electricity of the Brain)

  Watoto wasiruhusiwe kutumia Simu, watumie kama kunadharula tu au kitu muhimu sana.

  Usitumie Earphone za wire, Tumia za wireless mfano za bluetooth. za wire zinaongeza wingi wa mionzi sababu pia zinatumika kama antena ya simu,

  Usiweke simu kwenye Mfuko wa suruari au shati au kiunoni,sehemu za mwili zinapitisha mionzi vizuri zaidi sababu pia ni njia ya neva za ubongo na chini ya mwili.

  Usitumie simu kwenye chumba kidogo au lift au gari. Sababu Simu itatumia nguvu nyingi kuvuta mionzi ili kuwezesha mawasiliano.

  Ukipiga simu subiri hadi mtu apokee ndipo uweke sikioni kusikiliza na sio wakati ina connect.

  Usipige simu kama network ipo chini au signal inaonyesha bar moja au ndogo, simu itavuta mionzi zaidi ili kufanya mawasiliano

  Ukinunua simu hakikisha unasoma kama ina LOW SAR(Specific Absorbtion Rate) Ni kipimo cha kupokea mionzi ya simu.Za nokia zinazo ila za Kichina HAZINA.

  Tumia vifaa vya kupunguza Mionzi vinapatikana madukani(vinawakawaka taa hivi)

  La mwisho kula vizuri ilikuongeza kinga ya mwili

  Ni hay tu source ya hii ni MIONZI YA SIMU
   
 3. b

  blackpearl Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kuna app flani niliwahi kuinstall kwenye my bberry curve 8900 inaitwa tawkon,inaalert kwa kuvibrate kila unapopata call inayoambatana na radiation level iliyopta kiwango....yaan almost all the calls ilionesha radiation levels above normal...I think it should also b in the 2nd list unless kuna factors nyngne znazokuwa considered na mm czjui
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Thanx all for the information.
   
 5. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Hivyo vifaa vya kupunguza mionzi vinaitwaje utuambie na sisi tuvinunue?
   
 6. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  mkuu hii inafaa kwenye simu zetu hizi za mchina hahahahah?
   
 7. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu hivyo vifaa nimesahau jina ila vinauza kwenye maduka ya makava na chargers,u kiwaambia wakupe kifaa cha mionzi watakucheka sana sababu hata wao hawafahamu, wewe waambie kuwa nataka kiurembo fulani cha simu ambacho unabandika nyuma ya spika ya simu halafu mtu akikupigia simu chenyewe kinawaka waka....mara ya mwisho kukiona ilikuwa zamani na sikujua umuhimu wake, vipo kama stika hivi vinagundi.
   
Loading...