Mbinu wanayotumia kuibia pesa katika akaunti za m-pesa/zap. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu wanayotumia kuibia pesa katika akaunti za m-pesa/zap.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, May 31, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ndg zangu wapendwa kumekuwepo na malalamiko mengi sana kuhusiana na wizi katika zap account na m-pesa. Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua kwamba kuna makosa yanayo fanywa na wamiliki kwakuto kuwa makini katika utunzaji wa namba zao za siri hivyo kuwarahisishia hao wezi kuiba pesa. Kuna mbinu nyingi wanazo zitumia hawa wezi hapa nitataja baadhi. 1.ni ile ya mtu kuomba simu yako aione. hapo mwizi hupata muda wa kusoma msg hasa zile za m pesa hapo hujua moja kwa moja kama unapesa hau hauna. akijua unazo anaanza kuleta vijimidala vya kuhusu vitamburisho, kwa kutumia hila zake anaweza akakumbia jambo ambalo linaweza kukulazimisha utoe kitambulisho chako, mfano anaweza akakuambia,yaani sura yako inaonyesha wewe unamiaka 80.na kwa kuwa wewe najua hauna hiyo miaka unaweza ukabisha na mwisho kabisa unaweza uka mdhibitishia kwa kumuonesha kitamburisho chako.hilo ni kosa kubwa sana kwani atakariri mwaka wako wa kuzaliwa,namba ya kitamburisho,na mahala pa kuzaliwa.siku hiyo anaweza akakuacha akakuvizia siku ingine ambapo anaweza akakuomba umuazime tena simu ili akuibie sasa. 2.njia ingine ni mtu kufanya kukuazima simu,kisha anabeep kwenye namba yake ikiwa lengo ni kuipata namba yako ya simu.kisha kukufanyia hla za kupata kitamburisho chako na baada ya mwizi humpigia mwizi mwenzie wa mbali kabisa na kumtajia namba ya line na za kitamburisho ili ai swap huko huko mikoani.na kisha kutoa pesa zako zote.hapo ukiwapigia simu voda wanaweza wakakushangaza mno.pale utakapowaambia wewe umeibiwa ili hali inaonyesha japo wewe upo dar ila pesa zako kuna mtu kachukua akiwa bukoba. NITARUDI ...
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  mJomba,
  Tunashukuru kwa alert hiyo.
  Lakini hayo mazowea na mtoa huduma hadi afikie kujua mwaka wako wa kuzaliwa...si mazuri!
  Lakini pia namba ya siri si lazima iwe yA mwaka wako wa kuzaliwa...maana mwaka wa kuzaliwa mtu anaweza kuujua hata kwa kukuangalia sura na kuhisi.
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nikweli pakajimmy unajua mtu akijua mwaka wako wakuzaliwa+namba kitamburisho+aina ya kitamburisho+ulipo zaliwa.hayo tu yanatosha kuwa hadaa watu wa voda kwa kuwaambia nimesahau passwod nao voda wanaweza kumsaidia kwa kumpa psswd.
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  pia sio mtoa huduma tu.hata rafiki.,mke,mchumba,mjomba,nk anaweza akafanya huo wizi na wewe usijue mwizi nani.mfano unapogundu pesa zako zimechukuliwa leo huko mpakani mwa kenya na tz wakati wewe na mkeo mnaishi iringa.je unaweza ujamzania my waifu wako kwamba ndiye aliye kuuwa?
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Lakini atawahadaa vipi? Kila line ya simu ilisajiliwa kwa jina la mwenye simu, ukizingatia kwamba lazima uwe na line iliyosajiliwa ili upate account ya M-Pesa. Kuiba pesa inawezekana, lakini inahitaji combination ya vitu vingi.
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkuu nimetoa mfano hapo juu kwamba mwizi anachoweza kufanya ni kukariri namba yako ya sm+kitamburisho chako.akiweza kupata hizo kisha akanitumia mimi. Mimi nae naenda kwa wale vijana wanao sajili nawaambia simu yangu pamoja na line imeibiwa hiyo naomba huduma ya sim swap wataniuliza kama nina chochote kinacho nidhibitisha kama mimi ndo mmiliki.hapo ndo naanza kumpa maelezo ya kitamburisho.
   
 7. ULUMI

  ULUMI Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SLAVE kweli wewe ni slave wa lugha hebu angalia hapo kwenye red kulikoni??
   
 8. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  NI KWELI KABISA SLAVE;
  System na process za ku-swap namba, kuchukua na kuweka hela pamoja kumtambua /kumthibitisha mtu kama ndie mmiliki ZIMERAHISISHWA SAANA ambayo ni hatari kwa usalama. I think these service providers should "recheck" them. Hata "EPA" ni rahisi kuhama toka bank accounts kuja kwenye hizi "mobile banking accounts".
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ni mambo tu mkuu.ila sio mbaya sana kama sijatoka nje.pia najua sio mimi tu ninaechanganya R na L. Cha msingi ni kuangalia mazingatio kama nitakuwa nimeandika kitu chenye mafunzo. Ila ninashukuru kwa kuniweka sawa.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Huo ni uzembe wa hali ya juu kwa upande wa mtumiaji, mtu mwengine atajuaje pin yako?
   
 11. L

  Lughe Senior Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  SLAVE;It's a very simple money roundering trick and so easy to prevent!....next time don't steal my time.
   
 12. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280

  nimekusoma mkuu
   
 13. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ni kweli chanzo kikubwa ni mtumiaji; nyinigine ni ile ambako kutokana na kutokujua kusoma/kuandika au ushamba tu, mteja anaamuomba yule agent amsaidie kutoa pesa. Anachokifanya ajenti ni kutoa kiasi zaidi ya kile alichoambiawa atoe, say anaombwa amtolee 100,000 yeye anatoa 150,000.
   
 14. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  sana tu mkuu.ila pamoja na hayo nadhani makampuni yanatakiwa kuboresha ulinzi wa akaunti za wateja wao.ili isije ikawa hii huduma niyawasomi tu.nafaham watu wengi kijijini haya mambo ya kuhifadhi pesa ktk mabenki hayakuwepo hii ni kutokana na hisia kwamba benki ni za wasomi.hivyo walivyo kuja voda watu wengi waliona kama mkombozi.mpaka sasa mimi nimeona watu wanajituma kufanya kazi akipata hata 5,000 anaikimbiza kwenda kuiweka ktk akaunti yake ya m-pesa.
   
 15. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  hapo sina la kuongeza. Upo sawa mkuu
   
 16. kinja

  kinja Senior Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapo umenena mwana, tuwe makini
   
 17. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maelezo yako yote uliyoeleza yanaonyesha huwezi kuniibia mimi!
  Nimepoteza muda wangu bure kusoma sredi hii
  :bored::bored::bored::bored:
   
 18. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata pakiwepo nguvu za GIZA? angalia utalizwa
   
 19. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mijitu mingine bana domo kama chuchunge.hivi wewe jinsi ulivyo bahatika kwenda shule ukawa mpaka una uelewa wa kujitambua. Kwa taarifa yako hii post imetoa funzo kubwa mno.umesema huwezi kuibiwa .unajua kwanza ungejipima ufahamu wako.kama nimeweza kukutapeli kuingia kwenye hii post umeisoma wee et mwisho ndo umeona umepotezewa muda.
   
 20. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kwa kampuni ya airtel baada ya kufanya sim swap password bado inabaki ile ile ya zamani nahutoweza rudishiwa hadi baada ya wiki 3 ndo utaweza kurudisha kwenye default passowrd yaani 1234...so bado kuna usalama
   
Loading...