Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 286
Wakuu naombeni msaada!
Nataka kununua E-book reader, nimezunguka maduka kadhaa hapa Dar lakini nimekosa. Option niliyonayo sasa ni kuagiza. Kwa wazoefu wa E-book readers, je ni ipi katika ya zilizopo sokoni kwa sasa ambayo ni nzuri na bei zake. Ningependelea ambayo ni touch screen, portable, memory kubwa na yenye uwezo wa kutunza power kwa muda mrefu.
Nawasilisha!