Je,unahitaji logo na banners?cheki hii

Je,unahitaji logo na banners?cheki hii

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
194
Reaction score
39
Salaam wakuu wa jf,mimi ni mmja kati ya wadau wa graphics hapa jf,na nina blog yangu niliyoianzisha hivi karibuni kwa ajili ya kufanya designs za logo,banners na kazi nyingine za graphics kwa haraka kupitia orders za online.either uni p.m hapa ama through my other contacts kwenye blog yetu.order yako itafanyiwa kazi haraka na kwa utaalam mkubwa.natanguliza shukrani.

Tembelea blog yangu ya
LOGOZETU.usisite kutoa comments zako
 
Back
Top Bottom