Msaada wanajf!

Emmado

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
209
215
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:
 
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:
Kwanza pole sana mkuu,
Kwa hapa bongo ni kama haiwezekani mkuu labda kama aendelee kutumia na simcard yako angalau unaweza kupa clue.
subiri wataalamu zaidi waje wanaweza kuwa wanajua zaidi
 
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:

Pole sana mkuu ni ngumu sana kuipata anza kuchanga tena kununua mpya.

Theoreticaaly kama kampuni ya internet Tanzania ingekuwa ni moja somehow inawezekana kujua kama laptop yako iko sehemu inatumika within Tanzania Through Mac adress. Lakini pracatically hata kama kampuni ya internet Bongo ingekuwa moja labda ungekuwa mtoto wa rais au raisi mwenyewe ndo watu wangekubali kutumia resources zao kum track mwenye hiyo laptop

Kama hiyo modem iliyoibiwa ikiendelea kuitumika basi jamaa wa airtel watajua kupitia IMEI no yake lakini sijui kama huwa kuna kittu wanafanya. As wrong as wewe ni mtoto wa mkulima mhhhh hesabu maumivu tu. Na pole sana
 
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:

Sina uhakika kwa bongo, lakini kwa US ungekuwa umeiregister na lockjack ingeweza kuitrace. May be ongea na Airtel wakusaidie kuitrace hiyo modem kama inatumika mahali. Lakini kwa bongo ilivyo sidhani. We sahau tu mkuu. Pole sana mkuu
 
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:

Nina imani na kitu kimoja tu, kwa kuwa unajua IMEI, ya MODEM na laptop unaweza kuvipata, Fanya kama ifuatavyo!

Karepot polisi kwanza kabisa,
Then nadhani kama modem itatumika mahala popote pale itaonyesha IMEI, na Namba ya simu ambayo inatumia kwenda kwenye net,

Pia ninahisia kwamba hata ukipeleka IMEI ya Laptop itaweza kuonekana muda wowote itakapokuwa Hewani kwenye Net!.

Jaribu kufuatilia, ninaimani kubwa sana kwamba itawezekana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom