mh!!
FANYA SERVICE KAMA SERVICE YA GARI VILE!! Hata gari usipo peleka service utaanza kusikia misauti ya ajabu ajabu
ok fanya hivi:
-Ifungue computer yako,
-tafuta blower! au kama hauna tafuta Brush ya kupakia Rangi
- toa kila kifaa ndani ya komputa na anza kukifuta vumbi kwa kutumia brush
-usitumie kitambaa sababu unaweza tingisha vi transistors
-Mortherboard i brush kama kwa brush
-toa feni la processor na ulifulize vumbi pia waweza tumia brush
-Power suply ipurize au igonge gonge chini taratibu usije haribu itatoa vumbi jingi tu
-ukishaona kila kitu kipo safi rudishia kama mwanzo
(njia hizi zote ni za kufanya home tena bila kuhitaji mtaalamu,tena bila kutumia mashine ya kupulizia)
Enjoy bro!!