Help; How to download Free AVG antivirus or Avast? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help; How to download Free AVG antivirus or Avast?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kichwa Ngumu, Jun 7, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Salute.
  Nili google AVG free antivirus na Avast nikapata lakini nilipokuwa na download baada ya kudownload AVG ikawa inadownload Cnet.
  Sijafaham kwa nini ilikuwa inadownload Cnet na nafanyaje ili kuweza kudownload AVG or Avast antivirus?
  Karibuni
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hukuwa makini tu!!!

  wakati inafunguka linki ya kudownload, link ya kudownload cnet inaandikwa kwa maandishi makubwa na mazuri kuwa DOWNLOAD HERE.
  na kwa vile wabongo hatupendi kusoma kila kitu kwenye mtandao na hata vitabu huwa tunataka haraka haraka na kubonyeza download.

  link ya kudownload ipo hapo angalia vizuri mkuu!! tulia usome unacho download. google tena ucheki vizuri

  cheers bro!!
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Poa Sharo milo
  Thanx
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kuepukana na matatizo ya robots ambazo huwa zinadirect kwenye unintended sites za wafanya biashara fanya yafuatayo: Hakikisha kwenye search engine ya google unaogezea neno homepage - mfano: Andika yafuatayo kwenye dailog box ya google : Free antivirus download AVAST Homepage alafu search, hiyo itakuhakikishia unavisit an intended URL. A trick hapa ni kwamba a keyword homepage inazizidi kete hizo robots zisifanye mambo ya phishing ukajikuta licha ya ku-download antivirus vitu vingine kama vile malware na na virus nyingine hatarishi zinakuwa downloaded in the process bila ya wewe kujua., take heed
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  nimekupata mkuu
   
Loading...