Nisaidieni namna ya kubadili PDF kuwa Word document

Nisaidieni namna ya kubadili PDF kuwa Word document

Ugimbi

Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Hallo wana JF,
Naomba ikiwa kuna yeyote anayefahamu namna ya kuconvert PDF document au mwenye software hiyo anisaidie tafadhali. I have something in PDF that I have to convert to word doc and my friend google does not give me nice answers.
Thanks in advance.
 
In the main menu,
Select File
Select Save as Text
 
Pia kuna program inaitwa pdf conveter. u can download it.
 
Copy hiyo document ya PDF then Paste kwenye Microsoft word!
N i pm ukifanikiwa!
 
Hallo wana JF,
Naomba ikiwa kuna yeyote anayefahamu namna ya kuconvert PDF document au mwenye software hiyo anisaidie tafadhali. I have something in PDF that I have to convert to word doc and my friend google does not give me nice answers.
Thanks in advance.

Nenda kwenye hii address u download trial software http://www.investintech.com/download/InstallAble2Extract.exe utaweza hata ku convert document amabayo i scanned to Word Excel, Publisher etc
 
Nawashukuruni sana wote kwa msaada wenu. God bless you abundantly. This solution has worked perfectly with me.

fungua btjunkie - the largest bittorrent search engine utafanya free registration alafu search for adobe acrobat professional uishushe ni nzuri pia unaweza hata kufanya editing moja likiwa ktk pdf format

Thanks once again.
 
Back
Top Bottom