Wataalamu wa computer nisaidien mwenzenu katika hili

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Nimefungua internet cafe sasa nahitaji kulimit kudownload files not more than 3mb nafanyaje msaada wajuz.
 
labda nikuulize mkuu,provider wako ni nan,na unalipa kiasi gani kwa mwezi?
je ni unlimited au ni limited?
 
lakini vipi kuhusu web ambazo ukifungua tu zina maliza mb 4 kama ya michuzi? hata facebuku kuangalia picha tatu tu za high resolution ni mb kama 5 hapo inakuwaje?!!
 
lakini vipi kuhusu web ambazo ukifungua tu zina maliza mb 4 kama ya michuzi? hata facebuku kuangalia picha tatu tu za high resolution ni mb kama 5 hapo inakuwaje?!!

huyu anataka kufanya biashara huku anaganga njaa,ni ngumu sana!
 
kazi kweli kweli...mb tatu ni ndogo sana...hata wimbo mmoja hupati....ndio maana mkuu akauliza hapo juu ni unlimited au limited....HUWEZI FANYA BIASHARA KWA KIWANGO HICHO CHA MB 3. think again mkuu
 
Biashara mwachieni yeye, mbinu ndiyo muhimu. Mpatieni kama ipo!
 
Practically hilo suala litakuwa gumu sana, nasita kusema haiwezekani lakini ni gumu sana.

Jinsi internet inavyofanya kazi sio rahisi wewe kujua file anayodownload ina ukubwa kiasi gani kabla hajaidownload, sana sana itakuwa inakata katikati kitu ambacho kitawafrustrate sana wateja, file zitakuwa corrupted etc.

Pia ni vigumu kujua download A inaanza wapi na inaishia wapi, na download B inaanza wapi. Data zengine zinastream, hakuna mwisho mpaka utakapofunga mwenyewe e.g internet radio.

Itakuwa ni rahisi zaidi kulimit kwa session, so kwa saa moja mteja anaruhusiwa kudownload 300Mb e.g.
 
lakini vipi kuhusu web ambazo ukifungua tu zina maliza mb 4 kama ya michuzi? hata facebuku kuangalia picha tatu tu za high resolution ni mb kama 5 hapo inakuwaje?!!

Mkuu umeona jicho kwa jicho la tatu...sasa hapo hata email itakuwa ngumu kufungua!!haahaa, u make ma day!!
 
.........................................

Itakuwa ni rahisi zaidi kulimit kwa session, so kwa saa moja mteja anaruhusiwa kudownload 300Mb e.g.

Practically Hata kwa session kuna ugumu vile vile. Vipi umeme ukikatika kompyuta zikazima.( Obvious problem in bongo yetu). Ssession inabidi zianze upya. Au sio.?

Nachofikiria Je hakuna baadhi ya baadhi ya router unaweza kuset upload/dowload capacity ya network na sio kwa device moja moja. Kwa eice moja moja nadhani ni kazi kuwba sana.
 
Session inaweza ikawa inarecord totals jinsi zinavyoenda so ukirestart inaendelea pale pale, au anaweza kurestart to umeme ukikatika sidhani kama ni tatizo kubwa.

Ukilimit capacity ya network haitakusaidia, mteja mmoja naweza akaua limit yote.
 
Ina maana anandesha cafe bila kuwa na ulimited bandwidth. nadhani aangalie uwezekanao wa kupata ulimited ackage nzuri i kwa provider ili kama ni limitation yeye aangalie uwezekano wa kulimit kb/s kwenye network yake
 
labda cha kufanya hapa ni kutujulisha kuhusiana na provider wako unalipaje na unapata kiwango gan limited au unlimited na twaweza kukushahuri labda uwe na provider yup ni bei nafuu coz apo ukisema kulimit mb3 aisee apo utakuwa umebug kweli kweli siku hizi sio kama zamani internet connection kuipata ni very easy compared to zamani na watu wanapata internet access kwa bei ya chini sana kuangalia na viwango vya sasa kama kwa 500 mtu anapata 20mb sasa kwa cafe enzi zile saa moja jero siku hzi sijui bei ni vp halafu unataka kulimit kwa mb3.... cha kufanya ni kuweka viwango au kujipanga sawa sawa kuvutia wateja haswa kuweka unlimited download kabisa maana mie naona cku hizi cafe ni biashara ngumu sana au labda inategemea na eneo unalotaka kufungua..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom