Habari mbaya kwa watumiaji wa symbian v3 na kuendelea!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Halow JF

KUANZIA TAREHE 23/JUNE WALE JAMAA WA SYMBIANSIGNED WAMEBADILISHA SITE YAO SO HAWATATOA .cer na .key ANYMOREEEEEE

SO HUTAWEZA KU HACK SIMU TENA..KAMA ULISHAWAHI KUPATA .CER NA .KEY ITUNZE VIZURI KWANI BADO UTAWEZA KUTUMIA...HADI HAPO ITAKAPO EXPIRE BAADA YA MIAKA MITATU...KWA WATAO NUNUA SIMU MPYA....JUA KUWA HUTAWEZA KUCHAKACHUA....REALLY BAD NEWS...NAFIKIRIA NIAHAMIE KWENYE SIMU GANI....

Due to changes to the SymbianSigned website, ALL THE DEVCERTS issued after 23/June can be only used to sign apps which UID belongs to the unprotected-range: 0xE0000000-0xEFFFFFFF

In brief... if you've obtained a DevCert after the 23/June (despite by the website you used to get it) then:
- You can't sign any .sis app (or .sis mod), but only those (few) which UID belongs to the unprotected-range (eg: RP+ Lite Version and HelloOX 2.03)
- You can't hack anymore the phone using HelloOX 2.11 or JustHackIt! (because it contains an embedded .sis which UID is not in the unprotected-range)
- You can still hack it using HelloOX 2.03 (if your phone is supported)
- You can still hack it using a modded UDA (valid for ALL the devices)

The way I prefeer is to create an hacked UDA by adding the *.ldd files only... Then sign (using a DevCert) and install RP+ Lite Version (it can be signed using the new DevCerts too)
Doing in this way, if you don't apply any patches, you can be sure that the phone will behave exactly as the original, because all components are 100% original, no component is permanently replaced...

And when you want to change the behaviour from "vanilla" to "hacked", you just need to apply the included installserver and open4all patches.
You can even put them in "auto" if you need to use the phone as "hacked" for most of time.

POLENI SANA WANA SYMBIAN WENZANGU...NOKIA WAMEAMUA KUTUCHINJIA BAHARINI..

SOURCE::: About new DevCert issued since 23/June
 
hehe!!! mkuu jaribu halafu utarudi mwenyewe hapa!!!!

www.opda.hk
ŵ»ùÑÇÈû°àS60ÊÖ»úÖ¤ÊéÉêÇë-ÖÇÄܼÒÔ°ÊÖ»úÂÛ̳
s60 Certificate Key | Generate your own Certificate and Key | Self Sign apps and games
Ñåðòèôèêàòû äëÿ Nokia / Ïîëó÷åíèå ñåðòèôèêàòîâ áåçîïàñíîñòè äëÿ Nokia :: Nokia êëóá
symbian certificate | symbian signed online | nokia certificate - The free application of nokia certificates(S60v3/S60v5/symbian^3) - OPDA shoujizu
用户登录_用户中心_手机之家_最专业的手机社区

Hizi zote na nyingine unazozijua wewe na zisizo julikana HAZITAWEZA FANYA KAZI TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!

Yaaani we r so ****ED!!!! NO MORE KEYS NO CER

OK OK kama ulikuwa hufahamu au hujui....basi fahamu kuwa Hizo site zote hapo juu na zote zinazotoa hiyo huduma hazina uwezo wa kutengeneza wao wenyewe, wote wanategemea SymbianSigned website ili kutoa huduma zao.

symbiansigned ndio mmiliki halali wa SYMBIAN os.!! pole mkuu

tuanza kutafuta CHAKA lingine...lets wait hadi watuonee huruma...but i dont think so..symbian is really over!!!GAME OVER aka KWISHNEEEY
 
your right,duh! Lakini the good thing is that I still have my .cer and .key na valid till 2013.
 
Sharo "b" vp kwa wasiojua chochote kuhusu hack nao itawagusa kwa namna yoyote?
 
nna certificate kama developer mtengeneza software inaexpire 2024. Si kweli kua watafungia certificate zote ila labda wafungie certificate zenu, certificate ya developers it will remain for life manake bila certificate ya developer no software na bila software no simu. Mmenipata hapooo
 
kuna sofwr inaitwa xstevedore,inakupa certfct and key wth in secndz wala hamna haja ya kuomba for almst 3 - 5 dayz. Dat cant be stopped. Tarh 24 ntachukua cer and key kutumia hyo softwr nione kama hazita fanya kazi. Jamani hamna aja ya kuhack hzo simu zenu,tumieni freesigner kusign unsigned applications manually
 
Itakugusa tu bro..kama unataka kuweka program ambazo zipo hacked au unsigned lazima uzisign sasa utapata wapi key?!!! pole mkuu tupo wote kwenye msiba huu
Sharo "b" vp kwa wasiojua chochote kuhusu hack nao itawagusa kwa namna yoyote?
 
From wat i know symbiansigned ndio pekee wanatoa hizo key na cer so hongera.. baada ya 2014 we will be on yhe same boat
nna certificate kama developer mtengeneza software inaexpire 2024. Si kweli kua watafungia certificate zote ila labda wafungie certificate zenu, certificate ya developers it will remain for life manake bila certificate ya developer no software na bila software no simu. Mmenipata hapooo
 
Pole mkuu!!! bado hujaelewa...hiyo application yenyewe inavyofanya kazi unafahamu?!! ok hiyo apllication ina request cer na .key toka symbiansigned huyo aliyo itengeneza alifungua account kule so inarequest automatically.....so haifanyi kazi tena...tena tena... na kuhusu kusign application upo sawa ila kama unataka unlimited freedom ni bora kuhack sababu hutakuwa unasign kila muda unapopata softwre zote ni poa ni sawa na kuwa na limited na unlimited internet...
kuna sofwr inaitwa xstevedore,inakupa certfct and key wth in secndz wala hamna haja ya kuomba for almst 3 - 5 dayz. Dat cant be stopped. Tarh 24 ntachukua cer and key kutumia hyo softwr nione kama hazita fanya kazi. Jamani hamna aja ya kuhack hzo simu zenu,tumieni freesigner kusign unsigned applications manually
 
Shalo' mwaka jana nlikuwa natumia Sonyericsson P990i ni Symbian UIQ3 na niliweka mod flani hivi inaitwa sisInstaller kupitia Capswitch nikawa naInstal unsigned applications bila hata kuhack simu au kuziSign..The mod is intended to
- installation unsigned SIS packages with any capability
- installation SIS packages with protected\unprotected UID
on UIQ3 smartphones. mwanzoni nlikuwa nasign online kupitia Symbiansigned ila baada ya kusoma baadhi ya forums nikakuta kuna njia nyingi za kuInstal unsigned applications katika uiq3 phones,,,,,wewe unatumia symbian gani?
 
mkuu hapo ndio pa kuanzia...is it possible tena kuna latest mod ya capswitch 3 umeijaribu version ipi? lol kuna let me test anyway

ilikuwa capswitch 1 nadhani,,cheki hii link (SIS installer mod for Symbian 9.1 (UIQ 3)) hawa jamaa SWmail na BINPDA ni noumarr...nimeEnjoy sana na Symbian mkuu, kwakweli imenifungua akili sana, unajua mtu ukitumia symbian simu zingine zote hazikupigi chenga. sshv nipo na Iphone 3GS nimeimaster kwa mda mfupi sana, thanx to Symbian OS
 
thanx ..i think thats works only for sony ngoja niendelee kujaribu....aha symbian is everything to me japo kuna os mpya na kali napendelea OS hii.

Back
Top Bottom