Naomba msaada wa project waungwana!

X-not

Member
Sep 9, 2010
58
4
Hi!
Nachukua shahada ya uhandisi yaani 'Electronics & Communication Engineering',
nakaribia kujiandaaa kufanya project kwa ajili ya kumaliza, kichwani kwangu nahisi sina mwongozo wa kutosha, labda ni kwasababu sijapata 'exposoure' ya kutosha.
Tafadhari kama kuna yeyote anawazo, site za project anisaidie.

Thanx in advance!
 
Hi!
Nachukua shahada ya uhandisi yaani 'Electronics & Communication Engineering',
nakaribia kujiandaaa kufanya project kwa ajili ya kumaliza, kichwani kwangu nahisi sina mwongozo wa kutosha, labda ni kwasababu sijapata 'exposoure' ya kutosha.
Tafadhari kama kuna yeyote anawazo, site za project anisaidie.

Thanx in advance!

Rudia mwaka upate exposure ya kutosha. teh teh teh . joke.

La sivyo wewe sema katika hiyo field ya electronic na fieled ya communication ni kitu gani au topic gani ilikuvtuia na unapenda . Then tafuta poject inaylenga hiyo topic au wataalamu wanaweza kukusaidia kukupa kulinganana scope.
Mamabo ya kuacha mtu akushauri bila kuweka scope utaishia kufanya porject itayokuboa hata wewe mwenyewe. Scuessfull project lazima uwe na interest nayo.

Ni maoni tu

Na je unataka kufanya resarch project au technical project.?

eg unaweza fanya project ya RFID kama ni research unaweza kufana research ya system itayotumiwa na National Identity project. (hope uko tanzania)


Sikiliza hii clip kuhusu RFID inaweza kukupa idea ya proect inakufaa kwa mazingira uliyopo na resourcesulizonazo



Tembelea website za vyuo pia kama MIT pia unaweza kupata projec topic/tittle nzuri
 
Last edited by a moderator:
Rudia mwaka upate exposure ya kutosha. teh teh teh . joke.La sivyo wewe sema katika hiyo field ya electronic na fieled ya communication ni kitu gani au topic gani ilikuvtuia na unapenda . Then tafuta poject inaylenga hiyo topic au wataalamu wanaweza kukusaidia kukupa kulinganana scope. Mamabo ya kuacha mtu akushauri bila kuweka scope utaishia kufanya porject itayokuboa hata wewe mwenyewe. Scuessfull project lazima uwe na interest nayo.Ni maoni tu Na je unataka kufanya resarch project au technical project.?eg unaweza fanya project ya RFID kama ni research unaweza kufana research ya system itayotumiwa na National Identity project. (hope uko tanzania)Sikiliza hii clip kuhusu RFID inaweza kukupa idea ya proect inakufaa kwa mazingira uliyopo na resourcesulizonazo asante mkuu, i guess i've to do that, coz sometimes hii kitu inayojulikana kama kutojiamini inachangia.But u brought me to light, thanx again!
 
Last edited by a moderator:
1. Nenda TED.com (pitia kote ila specifically mtafute huyu kijana, Pranav Mistry on Sixth Sense)

2. Tembea tu barabarani kutoka chuoni kwako, zunguka mjini, then rudi kwa njia ile ile uliyopitia...utapata idea

3. Njoo hapa polisi makao makuu..if u r innovative enough!

4. Nenda kijijini ukalime...u myt come up with a constructive idea.

CHAGUA MOJA!
 
asante mkuu, i guess i've to do that, coz sometimes hii kitu inayojulikana kama kutojiamini inachangia.But u brought me to light, thanx again!

Mkuuu powa lakini kabla hujafanya uamuzi tafuta project tittle kama mbili au tatu. then zilingansshe kulingana na

  • Hands na knowledge uliyonayo na elimu liyonayo uhusu tittle ya project
  • Urahisi wa kupata helpful material online na watalaamu wengine waliopo mtaani including lecturer watakao kusaidia ushauri i
  • Resources gani nyingine utahitaji . eg kiasi cha fedha . Muda utakatumia kukamilisha
  • etc
 
That's helpfull, i'm finally realised where i stood, infact i can do alot more, if not help from you guys.
I can't thank u enough.
But please understand u ouw me much!
Gracious!
 
That's helpfull, i'm finally realised where i stood, infact i can do alot more, if not help from you guys.
I can't thank u enough.
But please understand u ouw me much!
Gracious!
wapigie vibatani vya thanks basii...
 
That's helpfull, i'm finally realised where i stood, infact i can do alot more, if not help from you guys.
I can't thank u enough.
But please understand u ouw me much!
Gracious!

Mkuu..yaani baada ya kukusaidia bado unatudai!?? Ama ni lugha gongana??

I owe you-nina deni lako.

You owe me much - una deni langu kubwa.

Andkia tu kwa kiswahili kaka, ndiyo lugha yetu!
 
  • Thanks
Reactions: mja
Mkuu..yaani baada ya kukusaidia bado unatudai!?? Ama ni lugha gongana??

I owe you-nina deni lako.

You owe me much - una deni langu kubwa.

Andkia tu kwa kiswahili kaka, ndiyo lugha yetu!
hata angesema, Mungu awabariki, sina cha kuwalipa , inatosha.. hizi ze ze zeee.. khaaa , i like this mkuu
 
Thanks kwa thought of the web of the day . nimependa hiyo presention ya huyo kijana na hyo link

Shukran kaka..always my pleasure!
Umecheki vijana wanavofikiri out of the box!?? Sijui sisi tunaowaza umeme utarudi lini tutafika uko lini!
 
Back
Top Bottom