KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
WanaJF wenzangu mambo vp?.Naombeni msaada wenu wakuu kwenye simu yangu ya Nokia N93i imekumbwa na tatizo la kutofanya kazi kabisa nikiiwasha inaniandikia PHONE START-UP FAILED.CONTACT THE RETAILER.Hili tatizo limejitokeza baada ya memory card kutolewa kuwekwa kwenye compyuta kwa ajili ya kuweka nyimbo mara baada tuu yakuirudisha hiyo memory card kwenye simu nilipoiwasha tu iliwaka na kuzima na kuniletea ujumbe wa GENERAL SYSTEM ERRO.tafadhali naombeni msaada wenu wa hali na mali natanguliza shukrani.