Msaada wanajf

Msaada wanajf

Anniem

Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
31
Reaction score
1
Naombeni msaada wa driver za USB Desktop aina ya ACER VERITON M261.Nilikuwa nainstall kersperky ikapoteza driver za USB
 
Nimeshindwa kuzidownload niko na window 7 haikubali kufungua
 
Asante ndugu natumia window xp

Lakini kabla hatujafika mbali je umejaribu keuchomek USB toafuti tofauti zote haziwezi kuwa deteced au ni aina fulani ya USB drive ndio inagoma.?

kabla ya kudowlod na kuistall drive chunguza hilo na nenda kwenye computer management chagua device managers then device drivers ucheki kama Universal Seril Bus controller kuna chochote unachoona chenye nembo ya njano.?

Au inawezekna hiyo antivirus yako kimakosa kuna file la .dll or .inf linahousiana na driver za UBS inalibblock kimakosa ikihisi ni threat. So cheki status au rekebisha hiyo antivirus ilitambue hilo file. Unaweza kujaribu kuweka OFF antivirus yako kwa dk chache uone kama itandelea kugoma kutambua USB.

Ukiweka Off antivirus USB ikafanya kazi basi itabidi ujaribu kurekbisha setting za antivirus.
 
nimeenda kwenye device manager USB drivers ziko rangi ya njano. Nimejaribu flash na modem tofauti zote hazisomi.Nimeweka off baadae Nimeondoa hiyo Anti-virus bado tatizo pale pale
 
Sasa kwa nini usifanye repair . Pale pale ulipona alama za njano kama sikose right clik chagua repair na nimesai utaratibu kama u mjana kiodgo utaweza kuendelea. Ukija list of devices chagua USB (Univesal Serial cntrollers )

Sijui level ya ya utundu kwenye haya makitu.

Hawa microsoft wana solution mbili unaweza jaribu pia
Automatic fix - Kama net yako si mgogoro unaweza cheki hapa A computer that is running Windows XP cannot detect a USB flash drive, an Apple iPod, or an external hard disk drive bonyeza fix it. Itajaribu kucheki na kurekebisha tatizo yenyewe. nadhani unaweza kuedenela nayo hiyo

manual fix- hii inahitaji u edit na kurekebishe registry.. Soma hapa A computer that is running Windows XP cannot detect a USB flash drive, an Apple iPod, or an external hard disk drive
 
Back
Top Bottom