Jamani sayansi ya HEP inaruhusu kurecyle maji kwenye mabwawa yetu au yanakuwa yamechafuka hayafai?

logbes

Member
Apr 17, 2011
88
20
Jamani sayansi ya HEP inaruhusu kurecyle maji kwenye mabwawa yetu au yanakuwa yamechafuka hayafai?
maana wanasingizia maji yameisha na masika yameisha juzi je mwezi wa kumi si kutakuwa giza 24hrs?
M mpaka nimeharibu betri ya simu yangu kwa kuchaji kabla haijaisha na kukatika kabla sijamaliza kuchaji( ratiba za mgao hazieleweki) huo mfano mdogo wa kero za Power shading au rationing
 
Sababu lazima ziwepo mkuu ili wananchi waridhike serikali inaweza ikafunga mashine za umeme za upepo na ukitokea mgao watasema upepo umepungua.
 
Jamani sayansi ya HEP inaruhusu kurecyle maji kwenye mabwawa yetu au yanakuwa yamechafuka hayafai?
maana wanasingizia maji yameisha na masika yameisha juzi je mwezi wa kumi si kutakuwa giza 24hrs?
M mpaka nimeharibu betri ya simu yangu kwa kuchaji kabla haijaisha na kukatika kabla sijamaliza kuchaji( ratiba za mgao hazieleweki) huo mfano mdogo wa kero za Power shading au rationing
Power shedding
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom