Kutengeza national event database | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutengeza national event database

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jul 18, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hi
  wanateknolojia.

  Kama mnavyojua nchi yetu ni ya kisiasa zaidi. Na hata sisi wenyewe tu wanasiasa. teh teh teh

  Sasa nimepta wazo kutokana na mambo mazuri na mabaya yanatoea ingekuwa vizuri mtu au watu wanzishe web driven database amabyo itakuwa ina publish matukio ya kitaifa na matukio yanayogusa jamii as they happen.

  Wazo hili sio Forum So input ya kwenye hii National event database itakuwa ni ya watu wengi lakini wenye haki ya kurushu event iwe published na ionekane kwenye kalenda ya matukio ya kitaifa itawekkwa kwa watu wacahche.

  Kwa kuwa a sytem hii itakuwa rahisi kuona sarakasi na mazuri yote yanayofanyika kila siku mwezi na mwaka.

  Natio nal event web -driven- Database inaweza kuwa but not limited na field hizi
  • Date
  • Event
  • good or bad
  • Responsible authority
  • Link to futher stories( kiunganisha cha magazeti blog na forum)
  • etc
  Eg mfano taarifa inayoweka kupatikana ni
  X-x/2011 Kikao cha bajeti good Serikali, Bunge jamiiforums.com
  X-X/2011 Mgao wa umeme bad Tanesco, Serikali jamiiforums.com , Tanes
  x--x/2011 Ufunguzi wa UDOM good Serikali dalynews.com

  Kwa wanaopenda kujifunza web developent

  Haya hili ni wazo mtu yeyote hasa wanaowapenda mambo ya web anaweza kulifanyia kazi kuliko kila mtu kutaka kuanzisha forums zinazofananai.

  kwa wataalamu
  Kwa wataalmu wa mambo ya web naomba mniambie ni CMS gani naweza kutumia kutengeneza hii national event database au ni exntension gani zinatakiwa


  Wakuu tuwe creative. kuna watu wako creative kwa ideas lakini hawawezi kufanya mambo na kuna watu wanaweza kufanya mambo lakini hawako creative. Ttaizola Tanzania ni haya maundi ya watu wa ina mbili hayaki pamja na kusikilizana.

  Hureeee JF teknology

  Nawasilisha
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hii unaweza kutengeneza in PHP/ASP.Net/Java in a day kama una uzoefu kidogo au kama wiki kama haujawahi kufanya ila purpose ya hii kitu itakuwa ni nini na itatengeneza vipi hela, au hii sio biashara? Yaani nini kitammotivate programmer kutengeneza hiki kitu.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Si wazo baya. chapa code mkuu.
  :typing:
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Programer mzoefu haiwezi kumotivate sababu hii haina faida. But maprogramer wapya na wanaopenda kujifunza inaweza kuwamotivate utengenza kitu fulani kipya na kujifunza..

  Yaani inakuwa na sme features kama za blog few pepole can publish lakini anyone can comment or send advice event gani ziwe included.

  So can u be an online consultant?

  Teh teh teh teh Xpaster nimebuka . Am always good in starting thing lakini tatizo ni kuvimalizia
   
 5. Researcher

  Researcher Senior Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wazo zuri mkuu.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Uwezi juwa mkuu, kuna siku utaona mawazo yako yakifanyiwa kazi na wenye uwezo wa kualizia mambo, ila hawajui jinsi ya kufikiria namna gani ya kufanya, ila ukiwaonyesha tu, utaona umahiri wao.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unaweza kunipa link ya articles na resources nzuri nazoweza kupitia maana uzoefu wangu ni kidogo nataka kuji upadate na haya mambo ya ICT
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Great idea! So, nani na nani watamfunga paka kengele?
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  hahhaha givenality we unaonaje? ifanyie kazi kama unaweza au nipe na tupeane idea what can be done practically.
   
 10. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa heshima na taadhima nachua idea yako then nitakupa credit mara tu mradi ukikamilika,please kama unaona kuna cha ziada let mi know.
  Kama hautajari naomba private mmail yako ili tuone inakuwaje!!
   
 11. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mimi nimechukua idea hii nanitaifanyia kazi baada ya miezi miwili ask me about this,please if possible naomba private email yako ili kama kuna kitu unadhani ni mhimu zaidi ya hapo uni-update!!!!!!!!!
  Expect more credit from u'r idea
   
 12. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ok.....where do we start?
   
Loading...