Wakuu,
Heshima mbele!
Naomba mwenye kujua naweza kumpata wapi
Trainer wa computer basics ili hawa vijana wasiachwe mbali.
Wako shule-kindergaten za Kanumba design lkn lugha si haba.
Computer...
hivi wakuu mnadhani ni lini na hapa kwetu tutaanza kuangalia muvi za 3d zilitongenezwa hapa hapa kwe2? halaf pia kuhusu muvi za animation. hapa kuna magwiji wa 3d modelling, watu wanajua lightwave...
wakuu habari zenu, nina shida na original CD ya Windows 7 Ultimate 64Bit nataka nibadilishe windows katika laptop yangu, ninayo pirated windows 7 lakini nataka iliyo from an original windows cd...
Wadau, nimekuwa nikitumia Yahoo Mail kwa muda lakini hapa karibuni walilazimisha ku-up date e-mail yangu na tangu hapo ziwezi tena ku-attach files kwenye e-mail.
Kama kuna jinsi naweza fanya...
Wakubwa kwa mwenye kujua hii error tunaondoaje naomba anisaidie!ni hivi:
Nimejaribu kuestablish categories pamoja na Articles zake kisha nikacreate link katika main menu hizi article.Baada ya...
Habari zenu wana jamii, nitafurahi sana iwapo nitapata msaada toka kwenu maana nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoendelea humu ndani ya nyumba hii na nimegundua kwamba watu wengi huwa...
kwa wataalamu wa computer nisaidieni. Yani nikiwasha laptop na kuweka paswad inawaka kama kawaida then inaandika log off nakurudi mwanzo au inabaki ikionyesha uso wa kioo(scrensev)
Nikiwa kama mdau mkubwa wa JF Tech, Gadgets & Science Forum naomba kutoa pole nyingi kwa ndugu na jamaa wa waliopoteza maisha katika ajali ya meli huko Zanzibar. Najua hapa si mahali sahii saaaana...
Ndg zangu salaam,
nimekuwa nikihangaika kwa muda jinsi ya kuihost au kuitupa database kny mtandao maana html pages nishazitupa imebaki website tu nisaidieni wanajf hayo maujanja
Salam Wadau!
Naomba msaada jinsi ya ku-unlock password kwenye Memory Card ya simu. Niliipoteza ikiwa na password na sasa nimefanikiwa kuipata tena ila nimeshindwa kukumbuka password yake...
Hii ndiyo simu ambayo imeuza kupita aina nyingine za simu duniani. Au uamini soma hapo chini:
POPOTE TZ: NOKIA 1100 a.k.a NOKIA YA TOCHI; ''UNAIKUMBUKA??''
Wadau laptop yangu yenye windows xp imeshambuliwa kila nikijaribu fanya chochote hata kwny control pannel sms hii inajitokeza mbali na kufanya jitihada mbalimbali but nmekwama, 'Windows cannot...
plz wadau, nikitaka kufungua applications kwenye cm yangu ya nokia 6500 slide up inakataa inanmbia suportive file , nothing to display, naomba mnisaidie kusolve hii kitu
Wadau.
Naombeni msaada wa antivirus ambayo naweza kuitumia kwenye kimeo changu Nokia XpressMusic. Nimekumbana na virus anafuta file moja baada ya jingine na kibaya zaidi hata pale kwenye option...