Msaada wanajf jinsi ya kuupload mafile kny website hasa upande wa database

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
886
60
Ndg zangu salaam,
nimekuwa nikihangaika kwa muda jinsi ya kuihost au kuitupa database kny mtandao maana html pages nishazitupa imebaki website tu nisaidieni wanajf hayo maujanja
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Ndg zangu salaam,
nimekuwa nikihangaika kwa muda jinsi ya kuihost au kuitupa database kny mtandao maana html pages nishazitupa imebaki website tu nisaidieni wanajf hayo maujanja

Hizo HTML page imezitupa vipi??? Jaribu kutumia mbinu hiyo uliyotumia kutupa HTML page kutupa database kama unapata errror wawekee watalaam labda watakumbia . teh teh teh

Anyway
Nijuavyo mimi na uelwa wangu mdogo Kwenye servers kwa mambo haya ya tovuti kuna webserver na databaserver server
Webserver mbili kuu ni apache inayofanya kazi juu ya OS ya Linux na IIS ya Microsoft inayobebwa na Windows . Huku ni tunaongelea mmbo ya HTML na PHP. So kwa mujibu wako huku kwenye webserver hakuna shida

Database sevrer: Ukichagua host wanaotumia apache kama Free Web Hosting with cPanel, PHP, and no Ads watakuwa wana Database engine ya MySQL na ukichukua Host wanaosupprt ISS database engne yao mara nyingi itakuwa ni SQL server


Kama unapenda kuumiza kichwa soma hii article ya kuhusu Three tier archtecture http://en.wikipedia.org/wiki/Multitier_architecture


Sasa kwa kuwa unasema mambo ya HTML umeshayatupa na yamekamilika ila hujaeleweka una maana gani. kwenye database kuna vitu unataiwa kufaya. kwanz aunatakiwa ku create database. kama kutupa unakoongelea ni kuexport data kutoka kwenye databse moja kwenda nyinginine basi la kule unako export data lazima iwepo database stucrure kama ya ule zinatoka yaani table name, fileld name na data type . Na kuexport database tofauti na kuexport HTML file ambapo unatumia FTP application kama file zilla kwenye database nhia kuu inayotumika ni kwa ku run SQL scripts

Baada ya maelezzo hapo naomba nikuulize maswali mbili( Vidole hvina mfupa......)


  • Hizo HTML file umezitupa kwenye link gani? Unawea kuiweka hapa ?
  • Huo ulikotupa hizo HTML wanaprovie huduma ya database server? ( ama hujui ukitoa link ya swali hapo juu utapwa jibu)
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
connect kwenye local database kwa kutumia favorite tool (SQL Yogi, MySQL workbanch et al) halafu export data ktk sql file. Kisha disconnect local server na u connect remort server with same tool. Import your data from exported file.
Enjoy your web!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom