Msaada wakuu plz jahazi linazama

MwanzoMwisho

Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
34
Points
70

MwanzoMwisho

Member
Joined Aug 11, 2009
34 70
Wadau laptop yangu yenye windows xp imeshambuliwa kila nikijaribu fanya chochote hata kwny control pannel sms hii inajitokeza mbali na kufanya jitihada mbalimbali but nmekwama, 'Windows cannot find "C:\WINDOWS\system32\rundll32.exe'
Nimejaribu options km
- scf/scannow + xp cd
- Nimerun baadhi ya utilities kufix bt nyingi znataka upurchase
SO YOUR HELP PLEASE.
 

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
607
Points
250

kipusy

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
607 250
Hapo ni kurepair window, haina ujanja..... Tafuta OS system ya Xp kisha chagua option ya kurepair sio ku'install
 

Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
1,779
Points
0

Zing

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
1,779 0
Wadau laptop yangu yenye windows xp imeshambuliwa kila nikijaribu fanya chochote hata kwny control pannel sms hii inajitokeza mbali na kufanya jitihada mbalimbali but nmekwama, 'Windows cannot find "C:\WINDOWS\system32\rundll32.exe'
Nimejaribu options km
- scf/scannow + xp cd
- Nimerun baadhi ya utilities kufix bt nyingi znataka upurchase
SO YOUR HELP PLEASE.
Ina maana hilo file la rundll32.exe limeliwa au liko corrupt

Kama unayo CD ya windows XP soma hapa
Cannot find the Rundll32.exe file when you open Control Panel

Kama huna CD jaribu kuchukua hilo file nimeli zip na ku attach. Li unzip kisha fuata maelekzo yaliyo kwenye link juu

NB
Hilo file ukili unzip lipe jina kamili kabla ya uendela maana sikuweka extention ya exe
 

Attachments:

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,595
Points
1,250

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,595 1,250
Tatizo mkishasaidiwa huwaga hamkumbuki kurudi hapa na kutoa feed back!! inabore....njia rahisi tumia hiyo option ya "Zing" hapo juu ikikataa repair windows!!
 

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
1,014
Points
1,195

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
1,014 1,195
1. To resolve this issue, follow these steps:

  1. Put the Windows XP CD ROM disk in the CD ROM drive.
  2. Click Start, and then click Run.
  3. Type expands X:\i386\rundll32.ex_ c:\windows\system32\rundll32.exe in the Open box, where X is the letter of your CD ROM Drive.
  4. Restart the computer.
OR TRY
2. Try running superantispyware from here www.superantispyware.com
and also try running a squared free from here http://www.emsisoft.com/en/software/free/

JARIBU HIZO ITAFANYA KAZI
 

Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
1,779
Points
0

Zing

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
1,779 0
Ngoja nijaribu mkuu thn ntakupa fdback, Jina kamili unamaanisha nn mkuu na natakiwa nilipe .exe or?
Fuata hatua hizi moja baada ya nyingine.

  1. Uishaliun zip file la niliokuwekea pale juu
  2. Baada ya kuli unzip liweke file hilo ( rundll32.ex_ ) kwenye drive C
  3. Click Start, and then click Run.
  4. Andika maneno haya expands c:\rundll32.ex_ c:\windows\system32\rundll32.exe kwenye kibox cha run .
  5. Restar kompyuta yako
NB:
Tofauti ya haya maelezo na maelezo haya yaliyopo tovuti ya mcicrosoft Cannot find the Rundll32.exe file when you open Control Panel ni location wapi file la rundll32.ex_ lilipo

Kama uk o makini a kufuata instructions utafanikiwa otheriwse tafuta CD ya kurepair
Good luck
 

Paul S.S

Verified Member
Joined
Aug 27, 2009
Messages
6,055
Points
1,500

Paul S.S

Verified Member
Joined Aug 27, 2009
6,055 1,500
Fuata ushauri wa zing kwa makini kama huna cd ya windows xp
Niliwahi kupata hiyo tatizo nika google na kupata option kama ya zing
Feedback muhimu
 

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
501
Points
195

Ze burner

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
501 195
Wadau laptop yangu yenye windows xp imeshambuliwa kila nikijaribu fanya chochote hata kwny control pannel sms hii inajitokeza mbali na kufanya jitihada mbalimbali but nmekwama, 'Windows cannot find "C:\WINDOWS\system32\rundll32.exe'
Nimejaribu options km
- scf/scannow + xp cd
- Nimerun baadhi ya utilities kufix bt nyingi znataka upurchase

SO YOUR HELP PLEASE.
jaribu hii.

run commond
- type "gpedit.msc
-tafuta administrative templete iko chini kabisa - kushoto, fungua
-system -
-tafuta tena phrase imeandikwa ctrl+alt+del option, fungua
-upande wa kulia double click "remove task manager"
-enable it
-close and see what hapen.

goodluck bro
 

Forum statistics

Threads 1,390,882
Members 528,284
Posts 34,065,125
Top