Joomla template problem!!!!!please

MtuMmoja

MtuMmoja

Member
78
95
Wakubwa kwa mwenye kujua hii error tunaondoaje naomba anisaidie!ni hivi:
Nimejaribu kuestablish categories pamoja na Articles zake kisha nikacreate link katika main menu hizi article.Baada ya kuweka article ya pili nikakosea kwenye kuchagua single article,kilichotokea ni kwamba katika visitor's site article nyingine zote ziko fresh ila niki click hii articla niyokosea inaleta error hii hapa!
Nataka hiyo Born 2 Hustle itoke mana nikiiclick inaleta hii display screen!!!


Naomba kwa anayejua,aliyewahi kufanya hii ishu anisaidie,please!!!!!!!!!!!!!!
 

Attachments

Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
5,946
0
Uweezkano mkubwa installation ya joomla uliyofanya hakikuwa kamili na ilimiss baadhi ya files au files ziko katika location tata
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
975
225
unatumia version ipi ya joomla na ya xampp hz version mpya za xampp na wamp znaleta shida kdg na joomla 1.5 kwa kudisplay notices na warnings.
 
ThinkPad

ThinkPad

JF-Expert Member
1,851
1,225
Angalia link za component ulizoweka kwenye hiyo menu, inaonekana umeidirrect kwenye com ambayo kama vile haipo au haujai enable au haujailink inavyotakiwa.
 
ThinkPad

ThinkPad

JF-Expert Member
1,851
1,225
Tumia easyPhP me ndio nilioanzia kujifunza jumla,
 
Papizo

Papizo

JF-Expert Member
4,666
1,500
Angalia link za component ulizoweka kwenye hiyo menu, inaonekana umeidirrect kwenye com ambayo kama vile haipo au haujai enable au haujailink inavyotakiwa.
Tatizo hapo naona kama alivyosema mkuu hapa haujailink hiyo ndio maana inafanya hivyo,cha kufanya click hiyo link then ita jilick automaticaly,
 
ThinkPad

ThinkPad

JF-Expert Member
1,851
1,225
Dogo nimetumia kiswahili dogo, jumla ni kwa kiswahili, Dogo wewe jumla siumeifahamu mwaka jana kama sio mwaka huu.

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
sio jumla ni joomla.
<br />
<br />
 
ThinkPad

ThinkPad

JF-Expert Member
1,851
1,225
M2 1 hiyo link umeiunganisha na com, mod au article ?
 
MtuMmoja

MtuMmoja

Member
78
95
Nimeweza kuiondoa wakubwa!!!nimei link hii article kwenye home!!!!kisha nikai unpublish!!ikaondoka kabisa!!!!!thanks for ya help!!!!!!!!
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom