5yrs kids computer basics trainer

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
482
145
Wakuu,
Heshima mbele!
Naomba mwenye kujua naweza kumpata wapi
Trainer wa computer basics ili hawa vijana wasiachwe mbali.
Wako shule-kindergaten za Kanumba design lkn lugha si haba.
Computer wanayo ila games na kids software haina,
Naomba msaada. Niko tayari kujibu maswali ya ziada.
Nitumie PM au rakeyescarl@yahoo.ie
Mbarakiwe!
 
Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
601
137
Games za watoto ziko nyingi sana ie Mario, Zuma, Arrow, mortal combat, IGI 1,2 and 3, Street fihter Zero, Sega one, Nova logic, labda software ndio sina.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,832
Games za watoto ziko nyingi sana ie Mario, Zuma, Arrow, mortal combat, IGI 1,2 and 3, Street fihter Zero, Sega one, Nova logic, labda software ndio sina.

Nyingi hazifai kwa watoto hizo.
 
rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
482
145
Asante mkuu Kang, kwa nini?
Au nimejieleza vibaya, sikuwa na maana games kama za magari, kuendesha ndege etc.
I meant games na software zinazomlengesha mtoto kujifunza e.g zenye nyimbo kama za a,b,c,d etc au zenye kufundisha math au maching etc ili angalau na yeye wakiwa wanaongea mambo yao ya computer nae awe na cha kuchangia,
Thx+Rgds,
RE.

Namaanisha gemu alizozitaja Kibirizi hazifai kwa watoto, nyingi ziko violent sana. Fuata links nilizokupa nadhani utapata software nzuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom